Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,898
- 1,051
- Thread starter
- #161
Ama kweli allah aliona angeruhusu mle nguruwe moja kwa moja mlivyo walafi nguruwe wangeisha! na kizazi cha nguruwe kingefutika, ndio maana akaruhusu mle kimtindo
QURAN AL- BAQARA (2:173)
Lakini aliye fikiwa na dharura bila ya kutamani wala kupita kiasi, yeye hana dhambi kula Nguruwe. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.
QURAN SUURAT AN NAH'L (16:116).
Wala msiseme uwongo, kwa kuropokwa na ndimi zenu: Hichi halali, na hichi haramu - mkimzulia uwongo Mwenyezi Mungu. Hakika wanao mzulia uwongo Mwenyezi Mungu hawatafanikiwa.
WAISLAM KULENI NGURUWE ACHENI UNAFIKI
NGURUWE NI MKUU WA MEZA, KULENI WAZIWAZI ACHENI KULA KWA KUJIFICHA.
Mkuu msitoke nje ya mada.