Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 37,217
- 85,356
Yesu...🙆♂️Newforce, sauli na chuma ya mafuta ya rwanda zimewaka moto zote tatu

Sad...😥Wembamba wa barabara?
Acha kutetea madereva vichaa.
Chanzo hapo ni blind overtake shuhuda anasema kulikua na ligi BM, SAULI na New force hyo tanker ilikua imepaki road mbovu, BM Ndio alikua mbele akaipita afu ka kawaid aya mabus wanaovetake kama nyumbu so sauli nae akaunga akauziwa kicheche.... Pakawa padogo alivotaka kurudi akaivaa tenka huku nyuma Newforce alikua haja keep distance akamparamia Sauli ikawa hvyoo...
Stupid bus drivers
NewForce na SauliSio NewForce kweli hao?
Wembamba wa barabara?

New force, aipiti wiki lazima ajari itokee Kisa kukimbiza sauli wameona wameshindwa, wameamua kuivaa sauli kwa nyuma wameongeza majanga. Rest in peace DTF MJESHI sisi kama team sauli tunasema haijaisha mbaka hiishe tuna chuma mbili tu sahivi. DRH na DPN
Madereva wapumbavu sana wanakatisha maisha ya watu kwa upumbavu wao, ligi za Kijinga kabisa alafu ni watu wazima siyo watoto
Wembamba wa barabara?
Acha kutetea madereva vichaa.
Chanzo hapo ni blind overtake shuhuda anasema kulikua na ligi BM, SAULI na New force hyo tanker ilikua imepaki road mbovu, BM Ndio alikua mbele akaipita afu ka kawaid aya mabus wanaovetake kama nyumbu so sauli nae akaunga akauziwa kicheche.... Pakawa padogo alivotaka kurudi akaivaa tenka huku nyuma Newforce alikua haja keep distance akamparamia Sauli ikawa hvyoo...
Stupid bus drivers
Ni ajali ya lini.Kuna ajali mbaya sana imetokea mlandizi. Bus moja limegonga lori la mafuta na kusababisha moto, mwenye taarifa zaidi atujuze tafadhali. l
Lakini hii Morogoro Road kwa nini serikali haijali? Barabara nyembamba saaana hasa kipande cha mlandizi to morogoro, barabara kila siku ina ajali na ndio lango la kuingilia na kutokea dar.
Wembamba wa barabara?
Acha kutetea madereva vichaa.
Chanzo hapo ni blind overtake shuhuda anasema kulikua na ligi BM, SAULI na New force hyo tanker ilikua imepaki road mbovu, BM Ndio alikua mbele akaipita afu ka kawaid aya mabus wanaovetake kama nyumbu so sauli nae akaunga akauziwa kicheche.... Pakawa padogo alivotaka kurudi akaivaa tenka huku nyuma Newforce alikua haja keep distance akamparamia Sauli ikawa hvyoo...
Stupid bus drivers
Tanzania kama walivyo wanasiasa na kama wafrica woote walivyo hakuna anayejali Uhai wa Mwenzake.Ukijiuliza league ya nini wanakimbilia nini unakosa jibu unaona ni ujinga mtupu wa dereva unagharimu roho za watu na mali za watu
Kuna haja madereva kama hawa kupigwa ban leseni zao kwa muda depend na kosa.
Wembamba wa barabara?
Acha kutetea madereva vichaa.
Chanzo hapo ni blind overtake shuhuda anasema kulikua na ligi BM, SAULI na New force hyo tanker ilikua imepaki road mbovu, BM Ndio alikua mbele akaipita afu ka kawaid aya mabus wanaovetake kama nyumbu so sauli nae akaunga akauziwa kicheche.... Pakawa padogo alivotaka kurudi akaivaa tenka huku nyuma Newforce alikua haja keep distance akamparamia Sauli ikawa hvyoo...
Stupid bus drivers
We kweli MbenaNew force, aipiti wiki lazima ajari itokee Kisa kukimbiza sauli wameona wameshindwa, wameamua kuivaa sauli kwa nyuma wameongeza majanga. Rest in peace DTF MJESHI sisi kama team sauli tunasema haijaisha mbaka hiishe tuna chuma mbili tu sahivi. DRH na DPN
Wote wana makosa. Sauli ndio iliyogonga Lorry la mafuta ila New Force kwakuwa haku-keep distance akaingia nayeye.New force, aipiti wiki lazima ajari itokee Kisa kukimbiza sauli wameona wameshindwa, wameamua kuivaa sauli kwa nyuma wameongeza majanga. Rest in peace DTF MJESHI sisi kama team sauli tunasema haijaisha mbaka hiishe tuna chuma mbili tu sahivi. DRH na DPN