Kwani Peter Msigwa alifanywa nini polisi?

Kwani Peter Msigwa alifanywa nini polisi?

Hahahaa duuuh niliwaona leo wote,

Kesho ulete mafaili yote, ule mzigo unatakiwa kuondoka kesho!

Malizia tu tutaangalia malipo yako
 
Kamhanda anajua vema kudili na wahuni wa aina ile make kamtuliza sigwa kabisa.

Kaka Kibwe hapo kwenye Kam.. ulitakiwa uweke u halafu inakuwa Kamuhanda au kwenu hamtamki vowels wewe ni mndengereko nini?halafu kudili ndio kiswahili gani?au ndo kiswanglish cha vijana wa leo?bila shaka uliwahi kufanya kazi Clouds fm!halafu Sigwa ni jina ulitakiwa uanze na herufi kubwa au hujui kitufe cha kubadilishia maandishi?introduction to computer ulisomea wapi?sasa kwa leo ngoja nikusaidie somo la kusoma..tamka kile nitakachokuandikia hapa..tunaanza..Baba kasema anakula bata Singapore(rudia tena please),...rais wangu Slaa(rudia mara sita please)...Kichwani sina kitu(hii rudia mara kumi)..ukimaliza jifunze vowels kwa wimbo huu...hii ndio a aaa mkia wake kama jino aaaa..hii ndio e eeee kichwa chake Kinenee eee... hii ndio i iii kofia kama jangilii iii...hii ndio o ooo tumbo kama temboo ooo...hii ndio u uuu msitu ni kuzimu uuu!uimbe bwana usilete utani hapa!
 
Na jose mambwembwe amesaini mkataba wa miaka 4 Chelse Fc. Ni njaa au kule alipotoka alikosa promo ya media?

media za kule zilikuwa hazimpi nafasi...karudi huku kwenye mpira wa magazetini na mdomoni. lakini boss soon atamtimua
 
Hv unamkumbuka Emanuel Nkulila?
Yu wapi jamaa?

eeh! Si ndio yule jamaa aliyekua anacheza wing ya kushoto timu ya borntown dhidi ya bushstar. Hv na hwa Zena na Betina wako wapi siku hz?
 
Naona hii thread imekuwa soko mara kabichi, mara mhindi wa kuchoma nilijua computer yangu inachanganya madesa nika restart lakini bado! Mods naomba mwongozo wako!

Mkuu hata mimi bado nimeshindwa kuelewa muendelezo wa hii thread yan kama soko, mara wengine waulize maparachichi, Mara mpira mara foleni yan mpaka nimechanganyikiwa.

Makamanda mbona hatuelwani tena... JF bhana.
 
Mke wangu nitachelewa kurudi.. Usjali. Napiga bia 1 gapa
 
Update za Bale anasajiriwa wapi Real au Man u ?. Hoja mchanganyiko zinavutia hapa hakuna cha kujadili

aah wapi? Yani toka jamaa agome kujigeuza wingu la mvua anyeshe mtera kina kimechimbika kwenda chini futi kumi mbili.
 
Mkuu hata mimi bado nimeshindwa kuelewa muendelezo wa hii thread yan kama soko, mara wengine waulize maparachichi, Mara mpira mara foleni yan mpaka nimechanganyikiwa.

Makamanda mbona hatuelwani tena... JF bhana.

ili kupishana na BANS za mods kwa abusive language ni bora formula ya "habari na hoja mchanganyiko" ikawa applied. Nimependa members wanavyoelewana humu. Yani stress free zone.
 
Nipimie maharage sahani moja na chapati kumi,

Chenji yangu nitafuata baadae
 
Ha ha ha ha ha ha! Hii thread nimeshindwa kuielewa au content yake inahusu nin sasa kati ya haya.?

1. Msigwa na polisi
2.Habari za pombe bar
3Msiba wa msanii ngwea
4 Kilimo cha maparachichi
5.Ruzuku ya mbolea
6.Foleni
7.Mpira
 
Hii thread wachangiaji wake wamefanya nimecheka sana!
 
Kwa hiyo kwa akili yako watu wa iringa walimtuma akamjadili kinana tu,sasa mbona kamjadili hadi kachoka na kinana anaendelea tu kujenga chama chake wala hajatikisika.

Kikwetu jina lako lina maana mbaya sana aisee ! Wewe shida yako si nikujua alichofanywa polisi , hadi akawa kimya ?
 
...kumbe muhindi wa kuchoma ni tunda!..."tafadhali muhudumu nipatie kiloba chupa mbili"....

Hasa yale ya kule kwa njomba njomba! Utadhani ile mbolea ya kukuzia ilikuwa na sukari ndani yake!
 
Kesho tutakuwa hapa Kihonda-Morogoro nyumban kwa marehemu Kamanda Ngwea, Msiba utakuwa mahali hapo nyumbani na wote mnakaribishwa.

REST IN PEACE NGWEA.
 
Back
Top Bottom