Naomba mwongozo. Taarifa mwenyekiti. Mwigulu kalidanganya bunge.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Kamhanda anajua vema kudili na wahuni wa aina ile make kamtuliza sigwa kabisa.
Hana adabu yule, amepewa haki yake na mabaunsa kule lok up
Naona hii thread imekuwa soko mara kabichi, mara mhindi wa kuchoma nilijua computer yangu inachanganya madesa nika restart lakini bado! Mods naomba mwongozo wako!
Nani kamwaga pombe yangu??.........
naulizaaaa....?
kilimo cha maparachi kimekataa kabisa safari hii.
kaa chini wenzako wanapitisha vifungu. Msigwa bado anashughulikiwa na vijana huko
Ukifika kwenu waeleze hivyo walezi wako hapa jf ni hoja tu,tangu msigwa atoke polisi sijamsikia tena why.
Weka mbolea ya kuku wa kienyeji! Hiyo ni nzuri zaidi kwa ku-bust...
Utavuna mpaka ulikimbie shamba lako...
Kwani zile za ruzuku hazipatikani?
Kwani zile za ruzuku hazipatikani?
Kwani zile za ruzuku hazipatikani?
Kwani we ni marehemu serikali tulivu tunawagawia marehemu tu na walengwa hawapati kitu unacheza na" aka cdm ndio sababu"