Kwani Bunge likibadilisha Katiba na kuondoa ukomo wa Rais kubaki madarakani Uchaguzi Mkuu wa 2025 hautafanyika?

Hata bila bunge wapitishe tu.
Hakuna Mtanzania mwenye uwezo wa kuongoza nchi hii isipokuwa Magufuli.
Hakuna Mtanzania mwenye akili zaidi ya Magufuli.
Ni yeye tu.
 
Nauliza tu kwa wataalamu wa masuala ya Katiba.

Ninavyofahamu mgombea urais hupendekezwa na Chama cha Siasa na kuchaguliwa na Wananchi.

Kwa mfano Katiba ikibadilishwa na CCM wakamsimamisha tena Dr Magufuli, kuna ubaya gani?

Si wananchi ndio watakaoamua?

Maendeleo hayana vyama!
Soma hata Katiba,usijipendekeze kwa magu kiasi Cha kujisahau kuwa wewe ni binadamu Kama yeye.
 
Naunga mkono Maendeleo yanavyozidi kupiga hatua na kuleta Mageuzi katika Uchumi wetu Ukanda huu wa EA, Nakupa hongera Rais wangu. Lakini huku mtaani hali sio shwari kila kukicha afadhari ya jana wananchi wako hawana hali nzuri kiuchumi hili ni tatizo maana katika kipindi hiki chuki ndipo zinaanzia, Tumefurahi sana na mpango wako wa Elimu bure hakika kasi na uwingi wa watoto Mashuleni umeongezeka mnoo tunasema Ahsante kwa unafuu huu, Ila kwa upande wa maisha yetu imekua tofauti kidogo hivi sasa tunashuhudia mfumuko wa bei za vyakula japo serikali imewanyooshea vidole wafanyabiashara hali bado imekua mbaya, Kwa kifupi kuna baadhi ya mambo inabidi yatiliwe mkazo na kutafutiwa suruhu ili wananchi wapate unafuu ili tuyafurahie Maisha yetu na Rais wetu mpendwa DR JOHN POMBE MAGUFULI
 
Kwa mazumbukuku kama ninyi hakuna shida
Nauliza tu kwa wataalamu wa masuala ya Katiba.

Ninavyofahamu mgombea urais hupendekezwa na Chama cha Siasa na kuchaguliwa na Wananchi.

Kwa mfano Katiba ikibadilishwa na CCM wakamsimamisha tena Dr Magufuli, kuna ubaya gani?

Si wananchi ndio watakaoamua?

Maendeleo hayana vyama!
 
Nauliza tu kwa wataalamu wa masuala ya Katiba.

Ninavyofahamu mgombea urais hupendekezwa na Chama cha Siasa na kuchaguliwa na Wananchi.

Kwa mfano Katiba ikibadilishwa na CCM wakamsimamisha tena Dr Magufuli, kuna ubaya gani?

Si wananchi ndio watakaoamua?

Maendeleo hayana vyama!

watu wajinga wajinga mtatoa mpaka wake zenu kwa vyama.
 
Back
Top Bottom