Bro acha basi.
Kuna auntie yetu (shoga yake mama) aliambiwa mwaka jana mwenzi wa 11 ata RIP lakini mpaka leo navyoandika yupo. Ana kansa ya titi.
Juzi hapa ameambiwa sijui cell mpya zimezaliwa sijui nini (lugha ya kidaktari kuna muda siielewi)
Kwahivyo bado kuna hope, Pole…
Kama ni Muhimbili au Ocean Road au Sekouture (Mwanza) wala hata usijali, nenda India utarudi na majibu ya tofauti. Labda kama umeshaenda huko, Mungu akubarikiHey people,
Uzi huu ni wa kuwaaga wanaJF wenzangu
Nimekutwa na cancer ambayo kimsingi nimepewa taarifa kwamba ndani ya miezi miwili sitakuwepo
Naumia lakini sina jinsi
Nakufa ndoa yangu ikiwa changa ambayo hatujapata uzao wowote 😭😭
Nakufa namuacha baba yangu
Nakufa namuacha mama yangu
Ee Mungu
Pole Kwa unayoyapitia mwenyezimungu akujaze nguvu katika kipindi hiki,.Hey people,
Uzi huu ni wa kuwaaga wanaJF wenzangu
Nimekutwa na cancer ambayo kimsingi nimepewa taarifa kwamba ndani ya miezi miwili sitakuwepo
Naumia lakini sina jinsi
Kibongobongo hizo kansa huwa hawakadilii vizuri ama lah vipimo vyao vina walakini.
Utaambiwa hutoboi miezi miwili ajabu ikawa miaka na mikaka ukaendelea kuwepo.
Usijikatishe uhai, usijifanyie ukatili na kuwafanyia ukatili wanaokutegemea na wanaopenda uwepo wako, vuta subira.
Joanah mbona unaandika kwa msisitizo kana kwamba hicho kikao chako na huyo Dr Kanjanja Mungu naye alikuwepo!?Nakufa ndoa yangu ikiwa changa ambayo hatujapata uzao wowote 😭😭
Nakufa namuacha baba yangu
Nakufa namuacha mama yangu
Ee Mungu
Kuna bibi mmoja pia niliwahi kumkuta Ocean Road. Mwanae alinisimulia kuwa waliambiwa ana miezi mi nne tu ya kuishi. Lakini mpaka muda ule ananisimulia miezi mi nne ilikuwa imeshapita. Yule bibi alimaliza matibabu, akapata nafuu na akaruhusiwa kurudi nyumbani ila akapangiwa clinic.Nina imani stori yangu itaishia huku kwenye vipimo vilivyokosewa ili niendelee kuwepo
How comes nina cancer na sijisikii kuumwa chochote hapa
Na ujanja wote huo kumbe hunywi gambe?....unaona sasa unasepa hujaonja bia na kitimoto vitu vitamu ajabu duniani😋😋😋Mimi sinywi pombe wala kilevi chochote situmii so obvious muda hautabadili kitu
Mi ndo maana nakula Savannah na nguruwe kama sina akili nzuri, embu ona mdada mrembo, charming, very young anasepa woiiii🙌🙌🙌Mimi sinywi pombe wala kilevi chochote situmii so obvious muda hautabadili kitu
Na ujanja wote huo kumbe hunywi gambe?....unaona sasa unasepa hujaonja bia na kitimoto vitu vitamu ajabu duniani😋😋😋
Jokes aside, Joannah umejua kuniliza, nilipenda mautani yako asee🥹🥹😭😭😭
Mi ndo maana nakula Savannah na nguruwe kama sina akili nzuri, embu ona mdada mrembo, charming, very young anasepa woiiii🙌🙌🙌