Kwaherini JF

Status
Not open for further replies.
Kwa kweli wale wa karibu yangu waliokufa kwa cancer nikawashuhudia sio kitu cha mchezo, miezi ya mwisho ni ya mateso makali sanaaaa!
Sio wote mkuu watapitia mateso.. mf. Si baba yetu niseme week yake ya mwisho ndio alipitia maumivu ya kiuno wkend.. j3 akafanyiwa vipimo.. hata majibu hayajatoka akapumzika mazima. Na hiyo siku alimka fresh.. vikabadilika ghalfa na ndani ya masaa matatu akapumzika.

Maybe inategemea na aina ya cancer..

Huu uzi niliusoma alfajiri kikawaida.. now nasikia hadi moyo unauma
Sijui anayefariki anajisikiaje.. kazi ipo kwa wanaobaki.
Joanah kama uzi wako una ukweli.. basi wape taarifa nduguzo wa karibu. Vifo vya ghafla vinaumiza sana wanaobaki πŸ™Œ

Mungu akutie nguvu..
 

Umenitisha rasmi

Nilikuwa na hopes kwamba vipimo vitakuwa vimekosewa kwasababu sijisikii kuumwa, kumbe naweza kupitia maumivu wiki za mwisho πŸ₯Ί
 
Kama unavyosema, huenda zinatofautiana.
Tumtie moyo na kumpa nguvu ya kupambana πŸ™
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…