Kwaherini JF

Status
Not open for further replies.
Ni kama umemtukana MUNGU japo unaona upo sawa,
Iko hivi wakati wewe unapretend kunawenzio wanaishi ukweli wa hicho unachokifanya…You did it for attention sawa,sababu ni ipi?
Kwa ufupi Joanah wewe ni mtu ambaye hatujazoeana kwa maandishi japo ni mmoja wa familia yangu kwenye jukwaa hili,sikuonei aibu na niseme UMEKOSEA SANA.
Ikiwa huwezi kuandika kwa lengo ya kufundisha au kuburudisha ni vyema uwe kimya kwa kupitia nyuzi za watu na kulike tu ili ikiwa wapo wanaokufahamu wajue uko sawa(INATOSHA).

I love you Joanah
 
Ndoto ya kuwa na mtoto ilikuwa mwaka huu

Sijafanikiwa
Unajua nilikuwa nacheki hii ID, sioni Ile Picha yako pendwa inayokutambulisha nikawa naendelea kusoma mpaka Hapo kuna madu amesema umetoa mpaka profile yako.

Don't know you personally but you are amongst the realest Humu.

I don't know what you feel, but sorry for what you are going through.
 

Asante sana
Picha nimeitoa
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…