Hahahahahahahahahahahahahaha lol!!! Nimecheka sana hahahahaha leo umeamua kuonyesha your true colors nimefurahi pia sana tu, ila siku nyingi nilikuwa najua tuko bega kwa bega lol!!! Huyu jamaa ni maarufu sana hapa JF.
😛oa😛oa😛oa
Weye bado farkhina!? Few more hours please lol!!! ila usilale tu ukalipoteza zoezi lote ulilolifanya jana.
Sasa msosi wake mahali hapo weee....appetizer unaanza na shrimps wakubwa kabisa wamechemshwa tu lakini watamu ile mbaya.
Mwenzangu mazoezi ya jana kazi bure nshaanza kusinzia apa...
Hebu wahisabu hawa wageni walokuekuepo napika katles walau wasiende miyao tusiwapigishe domo tu...
Agh Mungu amesaida nishamfanyia UBATIZO X-mass...full shangweTubarikiwe sote Mkuu, vipi baby na mama yake wanaendeleaje Mkuu?
Hahahahaha lol!!! Kiasi tu si sana 🙂🙂.....mimi kwenye simu yangu natumia pc version hiyo mob version sina access na likes pia siupendi muonekano wake na haiko user friendly. Mara nyingi system huniforce nitumie mob version lakini hurudi kwenye pc version ambayo mimi naiona bomba maana huweza kutoa hata likes halafu muonekano wake pia naupenda. Kama unataka maelezo shuka PM nikupe instructions za jinsi ya kutumia pc version kwenye simu yako.
MUNGU awe nasi.. siku zote za maisha yetu,
wala si hapa katika kumalizia mwaka tu,
ee baba uwalinde na kuwaweka mikononi mwako watoto wako wote.. nawaweka mikononi mwako Passion Lady, BAK, Mentor, mzurimie, Lizzy, ladydoctor, Threesixteen Himself, YOU TUBE, miss chagga, King'asti, Madame B, Invisible, Paw, Fang, (nawaombea hawa mamoderator wapunguze ban, watafute plan B!!) Arushaone, sosoliso, Ritz, Zitto, Mwl.RCT, habari ya hapa, Mashaxizo, Daudi1, Daud omar, sister, Sista, shansarie, Baba V, charminglady, Kasinde, Kongosho, badiebey, Preta, Chimbuvu, watu8, Judgement, Kasinde, kahtaan, Dr.Mo, snowhite, Sangarara, Blaki Womani, miss strong, miss wa kinyaru, Mzee wa Rula, Mtambuzi,... na wengineo wooote!!!!!
Umenikumbusha mbali. Mambo yanaenda yakibadilika. Nakumbuka ezi hizo karibia na maeneo ya Bilcanas kuna "wamachinga" fulani walikuwa wanauza bia kwenye maboksi.
Kabla ya kuingia Bilcanas, watu tulikuwa tunapitia pale, tunapiga za kutosha. Baada ya hapo tunaingia Bilcanas tukiwa ndwiiii! Humo ndani mtu hanunui hata soda. Ni kujirusha tuu mpaka salaleeee.
Halafu enzi hizo madenti wa chuo kikuu ndiyo walikuwa na pesa ya kutesea. Enzi hizo ilikuwa inaitwa "Ngororo" (RIP Katibu wa wizara ya Elimu ya Juu wa enzi hizo Abdallah Ngororo) na siyo "Bumu" kama inavyoitwa siku hizi.
Enzi hizo mdada wa kitaa akikushtukia tuu kuwa wewe ni denti wa Mlimani au Muhimbili ilibidi kuwa mwangalifu nae maana unaweza kuliwa ngororo yote.
Siku hizi mambo yamebadilika, unawezakuta yanki hata kazi yake hajulikani hapa mujini lakini anakompiti na chief executive wa kampuni kubwa VIP au kwenye stuli ndefu, thanks to free trade ambapo sana mtu yoyote anaweza kufanya biashara yoyote atakayo bila zengwe.
Chezea kuwa Down With O.P.M" aka Other Peoples Money for the sake of OPP. Heri ya mwaka mpya.
farkhina mbona unasinzia bi dada mapema hivi!? Amka banaaaa. Nimekuwekea wimbo ukuchangamshe. Jirushe kwa raha zako bidada lol!!!.