Kwaheri 2012 karibu 2013

Kwaheri 2012 karibu 2013

Ahsante sana Mkuu gfsonwin..Nami nakutakia afya njema, heri, baraka na mafanikio tele pamoja na familia yako yote katika mwaka huu mpya wa 2013.

Ubarikiwe sana Mkuu.



BAK specifically naomba nikutakie heri ya mwaka mpya.
Mungu wa Yakobo akuinue, jina lake takatifu liwe msaada kwako, akupe mafanikio zaid ya miaka iliyopita na akuepushie shari zote za yule adui.
 
Last edited by a moderator:
hii ni special kwa woooteee wenye wapenzi wa ukweeeee na wenye mateja.......

Thanks Love.
Ila uliposema "na wenye mateja" ulikusudia kumaanisha nini hasa?

:cheer2:Hepi Nyuu Yia:cheer2::majani7:
 
Thanks Love.
Ila uliposema "na wenye mateja" ulikusudia kumaanisha nini hasa?

:cheer2:Hepi Nyuu Yia:cheer2::majani7:
hili swali ngoja nimwite mlongo wangu snowhite anisaidie kulijibu, lol!
au rafiki BAK una jibu kwa hili swali?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Uzi huu ni maalum kwa wale wote wanaotoka katika nchi inayoitwa Tanzania wengine wote hauawahuu!!! Heri ya mwaka mpya Mkuu fazaa
BAK heri ya mwaka mpya na we pia mkuu nilikuwa nakukumbusha tu tulivyo mwacha hoi Romney katika uchaguzi wetu.


Nategema 2013 itakuwa yenya furaha kwako na family yako pia.


Asante sana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
BAK na wanajamii wote, nami nawatakieni mwaka mpya mwema, wenye baraka tele na mafanikio katika kila jambo.

 
Last edited by a moderator:
Rafiki @FP..your lovely sister snowhite would be able to define "mateja" more accurately than BAK....Rafiki snowhite pita kipande hii please!!!!



hili swali ngoja nimwite mlongo wangu snowhite anisaidie kulijibu, lol!
au rafiki BAK una jibu kwa hili swali?
 
Last edited by a moderator:
Ahsante sana Mwasi nakutakia wewe pamoja na BADILI TABIA afya njema, heri na baraka tele na mafanikio makubwa katika yote mnayokusudia kuyafanya mwaka huu wa 2013.



BAK na wanajamii wote, nami nawatakieni mwaka mpya mwema, wenye baraka tele na mafanikio katika kila jambo.

 
Last edited by a moderator:
BAK nashukuru na am humbled by your warm New years greetings... Asante. Nakuombea wewe pamoja na wana Jf wote tubarikiwe na kufanikishwa kwa viwango tutakavo come 2013 katika kila nyanja inayohitaji mafanikio. Happy New year BAK...

Huu wimbo naomba uwaburudishe wana Jf woote... Pamoja Saana.

 
Last edited by a moderator:


FP Asante Dearest for the wishes and dedication... Shukrani. Mwenyezi Mungu akubariki huu mwaka uwe mwaka wako wa kujidaia. Lol. All the best dear.. Pamoja Saana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom