Kwaheri 2012 karibu 2013

Kwaheri 2012 karibu 2013

Its 2013, brand new year, happy new year wana JF wooooooooooooooote
 
  • Thanks
Reactions: BAK
BAK kip it up mkuu, you got the taste for music......ts doooooooope!!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
nawe pia salimia familia yako yote.
give my lovely kids a new yr kiss from aunt gfsonwin!
nimeshafanya hivyo mpendwa, nao wanakusalimu sana......
leo hakuna anayetaka kusinzia hapa mpaka kieleweke.....
wameshaandaa champagne yao hapa wanasubiri kuipop itakapoingia 2013
 
Last edited by a moderator:
nimeshafanya hivyo mpendwa, nao wanakusalimu sana......
leo hakuna anayetaka kusinzia hapa mpaka kieleweke.....
wameshaandaa champagne yao hapa wanasubiri kuipop itakapoingia 2013

that is soo sweet my dear.
ndugu zao huku wanacheza karata kusubiria mwaka, hapa nakwambia niko kwenye kelele zao hadi nataka kupata kichaa.
 
Last edited by a moderator:
that is soo sweet my dear.
ndugu zao huku wanacheza karata kusubiria mwaka, hapa nakwambia niko kwenye kelele zao hadi nataka kupata kichaa.
umeona eeeh! mimi nina fimbo hapa pembeni hata kama haitumiki lakini ionekane angalau maana si mchezo......masikio yote yanawaka moto
 
umeona eeeh! mimi nina fimbo hapa pembeni hata kama haitumiki lakini ionekane angalau maana si mchezo......masikio yote yanawaka moto

jamani mm siwez kushka fimbo manake nitawatandika.
 
napenda kuwatakia heri ya mwaka mpya wana jf wote popote pale walipo dunian.
kipekee kabisa namtakia heri mwaka mpya Invisible na crew yake yote.
love you all dears.

heri ya mwaka mpya me sis.... ya' comments energizes me alot.. u & lala1 nyie ni noumer! happy new year.
 
Last edited by a moderator:
4 minutes to go before 2013
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
nashukuru Mungu nimeuona
nawatakia heri wa tz na wana jf woote kwa ujumla!!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom