mimi nisipokuwa na fimbo wanajua ni muda wa kucheza, wakiona fimbo wanajua serious business.... ila kuitumia ni mpaka inapobidi.....
mwenzio si unajua mikono ya mwl kila ikiona pointer(fimbo) hutaman kuchapa lol! hua sigusi kabisa lkn nina kamswaki kangu nikisema nikashike tu utaskia mama naomba nisameheee! basi nikiambiwa hivyo mwili wote hulowana kwa huruma na upendo. najiskia kama vile mwanangu hana mtetezi tena ila ule ambao mm nitampa.
hunifanya nikawafikiria wale ambao labda wanaomba kama wao lkn bado wanaadhibiwa tena kwa namna ambayo ni ya ukatili, wale ambao wanafanyiwa mateso makubwa ya kinyama. huwa naumia sana kwaajili yao....................lol!
Namshukuru sana Mungu kwa kuweza kuona mwaka 2013
Asante BAK nakutakia heri ya mwaka mpya
Mwl umenikumbusha niliwahi kushika fimbo nataka kumchapa mwanangu aliangua kilio nikamwonea huruma badala ya kumchapa nikajikuta nalia na mie lol
Heri ya mwaka mpya 2013
Namshukuru sana Mungu kwa kuweza kuona mwaka 2013
Asante BAK nakutakia heri ya mwaka mpya
you too my dea,r happy new yr.
yaani kuhusu kuchapa mtoto hiyo kwanu ni adhabu ya mwisho kabisa tena baada ya kuona njia nyingine zote za kumrudisha kwenye mstari na kueleweka zimeshindikana. na mm hata wanafnzi wangu huwa wanjua madam huwa hachapi ila sasa nina adhabu ambazo mwanafunzi akiifanya akimaliza basi atatoka na maarifa na atatoka amenyooka kitabia.
you too loya!Happy new year mwl
Happy new year!
hii ni special kwa woooteee wenye wapenzi wa ukweeeee na wenye mateja.......
cc BAK, snowhite, cacico, gfsonwin, The Boss, Dark City, Erickb52, Kipipi, Ciello, Madame B, MwanajamiiOne, AshaDii, Asprin, TANMO, Filipo, moto2012, FirstLady1, Young Master, Smile, Preta Blaki Womani Arushaone PakaJimmy Mungi marejesho charminglady Mr Rocky Mzee wa RulaLiverpoolFC BAGAH Nicas Mtei Vin Diesel Judgement sweetlady Kabakabana IGWE Elizabeth Dominic Smiling Saint C6, na wengine woooote
Ahsante Mungu nimeuona.