Kwaheri 2012 karibu 2013

Kwaheri 2012 karibu 2013

Umeona eeh! mie nilikuwa napata shida sana kuamua kipi ni kikali zaidi.

cha wanigeria kimechangamka zaidi ya cha waethiopia (hii ni according to me rafiki)
nakizimikia sana tu rafiki
 
Last edited by a moderator:
Umeona eeh! mie nilikuwa napata shida sana kuamua kipi ni kikali zaidi.

wote wamejitahidi rafiki... ila nini hicho cha kwanza nikikisikiliza ndo kinaniingia zaidi rafiki
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
 
Last edited by a moderator:
Cha Wanigeria ni kikali zaidi lakini Waethiopia video yao imetulia, kwa maoni yangu.

wote wamejitahidi rafiki... ila nini hicho cha kwanza nikikisikiliza ndo kinaniingia zaidi rafiki
 
Thank you Mkuu Hayajamani...I wish the same to you. Goodluck and all the best in 2013. Happy New Year.

As the year comes to a close and we prepare to celebrate holidays with friends and family, please accept my best wishes and a happy new year.
 
Last edited by a moderator:
Cha Wanigeria ni kikali zaidi lakini Waethiopia video yao imetulia, kwa maoni yangu.
ha haaaaaaaaaa, sawa rafiki......
haya jipatie na hiki basi cha hapa home.....
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
hii ni special kwa woooteee wenye wapenzi wa ukweeeee na wenye mateja.......

cc BAK, snowhite, cacico, gfsonwin, The Boss, Dark City, Erickb52, Kipipi, Ciello, Madame B, MwanajamiiOne, AshaDii, Asprin, TANMO, Filipo, moto2012, FirstLady1, Young Master, Smile, Preta Blaki Womani Arushaone PakaJimmy Mungi marejesho charminglady Mr Rocky Mzee wa RulaLiverpoolFC BAGAH Nicas Mtei Vin Diesel Judgement sweetlady Kabakabana IGWE Elizabeth Dominic Smiling Saint [URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=42681"]C6[/URL], na wengine woooote
 
Last edited by a moderator:
Thanx mkuu BAK!

Mungu ni mwema na mwenye huruma na anaendelea kutulinda hadi mwisho wa 2012!

Heri ya mwaka mpya wa tz wote!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hii ni special kwa woooteee wenye wapenzi wa ukweeeee na wenye mateja.......

cc BAK, snowhite, cacico, gfsonwin, The Boss, Dark City, Erickb52, Kipipi, Ciello, Madame B, MwanajamiiOne, AshaDii, Asprin, TANMO, Filipo, moto2012, FirstLady1, Young Master, Smile, Preta Blaki Womani Arushaone PakaJimmy Mungi marejesho charminglady Mr Rocky Mzee wa RulaLiverpoolFC BAGAH Nicas Mtei Vin Diesel Judgement sweetlady Kabakabana IGWE Elizabeth Dominic [URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=62429"]Smiling Saint[/URL] [B][URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=42681"]C6[/URL], na wengine woooote[/B]

Ahsante mkubwa mwenzangu @FP,

Heri ya mwaka mpya na kwako pia...na kwa wadau wote wa JF

Babu DC!!
 
Ni kweli kabisa Mkuu Frajasa ...Mungu ni mwema sana tumshukuru kila siku iendayo kwake. Kila la heri na baraka katika mwaka mpya wa 2013.

Thanx mkuu BAK!

Mungu ni mwema na mwenye huruma na anaendelea kutulinda hadi mwisho wa 2012!

Heri ya mwaka mpya wa tz wote!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
hii ni special kwa woooteee wenye wapenzi wa ukweeeee na wenye mateja.......

cc BAK, snowhite, cacico, gfsonwin, The Boss, Dark City, Erickb52, Kipipi, Ciello, Madame B, MwanajamiiOne, AshaDii, Asprin, TANMO, Filipo, moto2012, FirstLady1, Young Master, Smile, Preta Blaki Womani Arushaone PakaJimmy Mungi marejesho charminglady Mr Rocky Mzee wa RulaLiverpoolFC BAGAH Nicas Mtei Vin Diesel Judgement sweetlady Kabakabana IGWE Elizabeth Dominic [URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=62429"]Smiling Saint[/URL] [B][URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=42681"]C6[/URL], na wengine woooote[/B]

heri ya mwaka mpya @fp
asante sana kwa dedication.
 
Last edited by a moderator:
Happy New Year BAK na wengine wote!

Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!

Umefufuka Kongosho???

Karibu tena na heri ya mwaka mpya konie....

Naamini utakuwa mtoto mzuri 2013!!

Mtanisamehe siwezi kuchagua nyimbo kwa kuwa nyimbo zetu ziko kwa vichwa tu!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom