Kwa watu wenye changamoto ya vipara

Kwa watu wenye changamoto ya vipara

Do you know muonekano ndio unawapa watu wengine pesa
Muonekano gani unaompa mtu pesa ??

Sasa mkuu unajua kuwa kuna watu wanatapeli watu kuwa kuna mafuta na spray za kuotesha nywele. Wewe umefatilia kwa kina madhara ya hiyo gundi au unapromote vitu usivyovifahamu

Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
 
Nadhani ni suala la kisaikolojia tu, ni taswira binafsi ya mwili.

Inapotokea kwamba hujiamini/hujipendi kwasababu ya muonekano wako, unaanza kufikiria kujifanyia 'marekebisho'.

Lakini kwani ukiamua kulitatua tatizo kwenye mzizi(hizo hisia za kutojiamini) si utakuwa umefanya vizuri zaidi?

Maana wanaume tunasumbuliwa sana na taswira ya mwili(urefu, ndevu, vipara, ukubwa wa uume...). Ukiruhusu hayo mawazo yakutawale si afya ya akili itavurugika?
Mwanangu unatoa facts
 
Hakika mkuu, mi ninao umechukua karibu kichwa kizima, umeniharibia mwonekano wangu , navaa sana kofia mara nyingi ili kuuficha.Nikipata hela lazima niutibu
Heri kuutibu ila siyo wigi,wigi bado utakuwa huna confidence
 
Back
Top Bottom