Kwa watu wenye changamoto ya vipara

Kwa watu wenye changamoto ya vipara

Wakuu hope mpo wazima wote. Na wagonjwa Mungu awafanyie wepesi.

Uzi wangu unawahusu wanaume wenye changamoto ya kutoka upara wakiwa bado vijanana wadogo.

I mean kuna mtu nywele zinaanza kuisha yupo early 30 au 20 hili ni tatzo sana kwa jamii nyingi ya watu. Na inawafanya watu wanakosa confidence.

Mimi sio muhanga wa tatzo ila kuna viashiria fulani nimeanza kuviona so nimejaribu kutafuta solution ya tatizo nimekosa zaidi labda ukapandikize ambapo ni gharama kubwa sana sio chini ya milion tatu ambavyo kwa vipato vyetu sio rahisi kushika hiyo pesa.

So katika ufiti wangu nimefanikiwa kupata njia bora na salama ambayo ni kuagiza wigs za kiume kutoka nje baada ya hapo utadirectiwa kwenye barbershop maalum ambapo utaweza kufanya installation na tayari utakuwa umerudisha comfidence yako. Najua hii changamoto imewakumba wengi hivyo nawakaribisha kwa maswali kwa anaehitaji ufafanuz kuhusu hii huduma. Mungu sio mjinga kutupatia nywele sasa kwanini tukubali kuishi na vipara angali bado vijana
Sisi huku shida ni mvi sio kipara, tufanyeje?
 
Kupandikiza nywele ni sh ngapi je hapa bongo wanapandikiza?
 
.nilipata kupata mapema lakini kuanza kuvaa mawigi Tena nayo ni issue mpya
 
Kipara ni shida ukiwa hauna pesa. Ukiwa na hela wala hutoona shida kuwa na kipara , tena utataka watu wajue kabisa kuwa unacho kipara
Tatzo watu wengi wenye vipara kwasasa hawana pesa
 
Back
Top Bottom