DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,319
- 83,199
Nothing to afraidKwamba mnaogopa vipara sana?
Nothing to afraidKwamba mnaogopa vipara sana?
kuwa siriasi, kipara ni ishara umekuwa mtu mzima na usiogope kama ulikuwa na nywele watu wanafahamu unazo kama huna pia basi maana ulipozaliwa hukuviomba ila vilikuja vyenyewe ila sio kuwashauri wanaume wavae mawigi kama mabwabwa. Acha zirudi ziikotoka tukatika ufiti wangu nimefanikiwa kupata njia bora na salama ambayo ni kuagiza wigs za kiume kutoka nje