Kwa watu wenye changamoto ya vipara

Kwa watu wenye changamoto ya vipara

2pac alikuwa na kipara alipendeza sana
Mayweather ana kipara mambo flesh

pigeni vipara
 
Siamini kama huu uzi umeadnikwa na na real man; serious?

Nina viashiria vya upara, na mvi zimetoka kabla ya muda wake, nywele za mbele zimeota mvi na kipara pia.

But sipaki black wala starajii kufanya make up ya aina yoyote. Wakati ni ukuta na najikubali hivyo hivyo.
Mkuu huna TAIMU na tutoto twa buku mbili ukivisimamisha vinakusalimia SHIKAMOO babu
 
Jaribuni kutumia Minoxidl na Dermaroller inasaidia sana, japo matokeo hayaji mara moja inahitaji subira na uvumilivu
 
Mmh, dunia ina maangaiko jamani,
Kipara ukiwa masikini ndio hakipendezi, 😀😀😀
Ukiwa na hela na kakitambi na uongo mbona mwake tu😃😃
Minywele mingi hadi kwenye kipandauso kama rama bedui ya nini?
 
Wakuu hope mpo wazima wote. Na wagonjwa Mungu awafanyie wepesi.

Uzi wangu unawahusu wanaume wenye changamoto ya kutoka upara wakiwa bado vijanana wadogo.

I mean kuna mtu nywele zinaanza kuisha yupo early 30 au 20 hili ni tatzo sana kwa jamii nyingi ya watu. Na inawafanya watu wanakosa confidence.

Mimi sio muhanga wa tatzo ila kuna viashiria fulani nimeanza kuviona so nimejaribu kutafuta solution ya tatizo nimekosa zaidi labda ukapandikize ambapo ni gharama kubwa sana sio chini ya milion tatu ambavyo kwa vipato vyetu sio rahisi kushika hiyo pesa.

So katika ufiti wangu nimefanikiwa kupata njia bora na salama ambayo ni kuagiza wigs za kiume kutoka nje baada ya hapo utadirectiwa kwenye barbershop maalum ambapo utaweza kufanya installation na tayari utakuwa umerudisha comfidence yako. Najua hii changamoto imewakumba wengi hivyo nawakaribisha kwa maswali kwa anaehitaji ufafanuz kuhusu hii huduma. Mungu sio mjinga kutupatia nywele sasa kwanini tukubali kuishi na vipara angali bado vijana
Ndiomana mnapakwa mafuta kwa7bu hamtaki kujikubali aise.
 
Back
Top Bottom