Kwa watu wenye changamoto ya vipara

Kwa watu wenye changamoto ya vipara

Sijamlazimisha mtu sasa sijui matusi yanatoka wapi kila mtu ana haki ya kuchagua kitu akipebdacho na cha ajabu hapa watu wanaponda ila inbox wanakuja kutaka wapewe bei wanunue hii ndio tanzania😂😂
 
Sidhani kama inafanya kazi kwa namna hiyo navyojua utapaka walau mara mbili kwa wiki
Niskilize mimi mkuu hiyo gundi ukhishapaka utatumia ndani ya mwezi mzima halafu utaosha kichwa then unatia wigi lako, kwa mara ya kwanza utahitaji kwenda salon ila mara nyingine zote unaweza kufanya mwemyewe ukiwa nyumbani hiyo gundi ni kali sana aiwez toka kwa mara moja
 
Huo nduo ushamba mlionao watanzania sasa kama utaki kupendeza why uvae nguo, why upake mafuta na kadhalika tembea hivo hivo mchafu ndio nitaielewa point yako
Kuna kuwa smart kwa standard fulani wala siyo shida lakini ikifikia stage ya kuvaa wigi,kupaka mafuta miguu na kuvaa vipensi ni hatari..
 
Back
Top Bottom