spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,029
- 21,532
Wakati wa mvua vipara ngoto tutakua tunakimbia kama kenge
Ndio maana napata pesa za kuunga kinouma 😅Ndiyo ujue kipara kimeshakukataa
Kwani kipara ni changamoto??Wakuu hope mpo wazima wote. Na wagonjwa Mungu awafanyie wepesi.
Uzi wangu unawahusu wanaume wenye changamoto ya kutoka upara wakiwa bado vijanana wadogo.
I mean kuna mtu nywele zinaanza kuisha yupo early 30 au 20 hili ni tatzo sana kwa jamii nyingi ya watu. Na inawafanya watu wanakosa confidence.
Mimi sio muhanga wa tatzo ila kuna viashiria fulani nimeanza kuviona so nimejaribu kutafuta solution ya tatizo nimekosa zaidi labda ukapandikize ambapo ni gharama kubwa sana sio chini ya milion tatu ambavyo kwa vipato vyetu sio rahisi kushika hiyo pesa.
So katika ufiti wangu nimefanikiwa kupata njia bora na salama ambayo ni kuagiza wigs za kiume kutoka nje baada ya hapo utadirectiwa kwenye barbershop maalum ambapo utaweza kufanya installation na tayari utakuwa umerudisha comfidence yako. Najua hii changamoto imewakumba wengi hivyo nawakaribisha kwa maswali kwa anaehitaji ufafanuz kuhusu hii huduma. Mungu sio mjinga kutupatia nywele sasa kwanini tukubali kuishi na vipara angali bado vijana
Sahii? Au mpaka badae?Uwe makini kwenye uzi wetu natupia unyama flani hivi😅
Sio wabongo tu hii issue imeenea sana nigeria na mtu asipokwambia kama kavaa wigi uwez mjuaWabongo hawaelewi wanapenda kufake kila kitu
Ila wenye vipara wenyewe pesa zinawafuata tu 😁😁Ndio maana napata pesa za kuunga kinouma 😅
Ndio tena kubwa sababu sio kila kichwa kinapendeza na kiparaKwani kipara ni changamoto??
Sasa Mkuu kuliko kuvaa wigi si bora unyoe tu kiparaS
Sio wabongo tu hii issue imeenea sana nigeria na mtu asipokwambia kama kavaa wigi uwez mjua
Tuangalie hali ya hewa, ila pombe zikipanda siwazi ,hakuna kenge nawaza😅😅😅 ,hivyo inategemea subiri ninywe bia ya kumiSahii? Au mpaka badae?
S
Sio wabongo tu hii issue imeenea sana nigeria na mtu asipokwambia kama kavaa wigi uwez mjua mkiambiwa huyu kavaa wigi utamjua
dronedrake Kaka ako huyu hapa Sasa.Wakati wa mvua vipara ngoto tutakua tunakimbia kama kenge
Narudia tena muonekano wa kipara na nywele ni tofaut sana na sio kila mru anapendeza na kiparaSasa Mkuu kuliko kuvaa wigi si bora unyoe tu kipara
Sijui ila naona hata kwangu zinajipendekeza tu😅😅😅😅Ila wenye vipara wenyewe pesa zinawafuata tu 😁😁
Basi usiache kunitag RasTuangalie hali ya hewa, ila pombe zikipanda siwazi ,hakuna kenge nawaza😅😅😅 ,hivyo inategemea subiri ninywe bia ya kumi
Sawa Mkuu endeleeni kufake 🚶🏼♀️Narudia tena muonekano wa kipara na nywele ni tofaut sana na sio kila mru anapendeza na kipara
Mimi ni rasi ila now nimepiga upara nimewaka hatari ila uwe na udevu bila hivyo unaonekana kama kisoda tuNarudia tena muonekano wa kipara na nywele ni tofaut sana na sio kila mru anapendeza na kipara
Bwashee umepotea kinoumaNadhani ni suala la kisaikolojia tu, ni taswira binafsi ya mwili.
Inapotokea kwamba hujiamini/hujipendi kwasababu ya muonekano wako, unaanza kufikiria kujifanyia 'marekebisho'.
Lakini kwani ukiamua kulitatua tatizo kwenye mzizi(hizo hisia za kutojiamini) si utakuwa umefanya vizuri zaidi?
Maana wanaume tunasumbuliwa sana na taswira ya mwili(urefu, ndevu, vipara, ukubwa wa uume...). Ukiruhusu hayo mawazo yakutawale si afya ya akili itavurugika?
Issue siyo mimi kukubali au kukataa hapo ni kwamba mwamba hataki kuishi uhalisia wakeChica Gee ukiambiwa huyu kavaa wigi utakubali??View attachment 3411228