Kwa wapenzi wa mambo ya mauaji tu

Hii hapa
 
Attachments

  • Screenshot_20200413-230551.png
    Screenshot_20200413-230551.png
    26.6 KB · Views: 5
Investigation Discovery Lovers tunakikao..kati ya vyote nilichogundua..kuna uhusiano Mkubwa wa sexulity na violence! Most serial killers its either ni gays ama mahusiano ya makuzi hao utotoni wameleleqa n single parent!
Na kuumizwa na Wazazi au Wapenzi wao
 
Very good ukiataka taarifa zaidi tafuta hii document ipo online

Natural Born Killers?: The Development of the Sexually Sadistic Serial Killer
Bradley R. Johnson, MD, and Judith V. Becker, PhD
Source hii hapa
 
Investigation Discovery Lovers tunakikao..kati ya vyote nilichogundua..kuna uhusiano Mkubwa wa sexulity na violence! Most serial killers its either ni gays ama mahusiano ya makuzi hao utotoni wameleleqa n single parent!
mama D njoo hapa unitafutie hizi mambo!
 
Nilisoma riwaya ya Sydney Sheldon inaitwa tell me your dream, mhusika mkuu alikua binti aliekua anaua wanaume bila yeye kujua.

Akiwa mdogo aliwahi kubakwa mala nyingi na baba yake hali hiyo ikapelekea augue ugonjwa unaoitwa MPD (Multiple Personality Disorder) huku kwetu tunaita "mapepo au majini"

Jamaa wa kwanza kuuwawa, huyu alipendana na huyo binti ila mshua wa binti akawa mkali akampiga marufuku jamaa asisogee karibu na binti yake, binti akatoroka usku akaruka fensi akaenda kwa jamaa ila akajishauli kua arudi tu home ataenda kesho asbuhi, hivyo akarudi home. Asbuhi akaenda kukutana na jamaa stesheni ya treni lakini jamaa hakutokea!! Kumbe Jana yake usiku alipoamua kurudi home jini lake moja likachukua nafasi ya nafasi yake likamuongoza hadi kwa jamaa, jamaa akaomba mapenz akafosifos kidogo wakati anakula mzigo akashitukia anachomwa chomwa visu mwili mzima. Wakat anamchoma visu akawa anasema baba acha baba acha lazima nikuue ili usimfanyie mtu nwingine mambo kama haya!

Jamaa wa pili, huyu yeye alikua mfanyakaz mwenzie katika kampun ya computer, alikua anampenda huyu binti lakin binti akawa hampend jamaa. Siku moja jamaa akamuomba binti aje geton kwake amshauri kitu flan. Binti akaenda baada ya kufika jamaa akampa kinywaji chenye dawa ya usingiz alipokunywa akapoteza fahamu ila hapohapo jini lake likachukua nafasi, jamaa akaomba mambo akapewa ila mwisho wake nae ikawa ni kuchomwa chomwa mwili mzima kwa grasi ilokua na kinywaji hadi akafa! Binti aliposhtuka akajikuta yupo mji mwinge tena hotelin hajui chochote kilichoendelea baada ya kunywa kinywaji chenye dawa ya usingz!

Jamaa tatu, huyu yeye alikua mfanya biashara alikutana na binti mtandaon wakaanzsha uhusiano mwisho wa sku wakakutana live nae akala mzgo na akauwawa kwa namna ileile kuchomwa chomwa na kisu! Jini ndilo lilokua linachat na jamaa, yaan lenyewe ndio lililokua linapenda sana kutumia mtandao (na sio binti halis)

Jamaa wa nne, huyu yeye alikua mchoraji. Huyu alipendana na nafasi ya pili ya binti ( jini lake la pili) nae alikufa kwa visu mwili mzma baada ya kula mzigo!

Jamaa wa tano yeye alikua askari polis mpelelez, alikua anafatilia mauaji ya hao jamaa wanne waliouawa, sasa kuna siku huyu mpelelez alienda kulinda kwa binti baada ya binti kuomba ulinzi maana alikuta maandshi kwenye kioo chake cha kujitizama yakisema NITAKUUA! Jamaa alilinda akalala sebken usiku akaskia binti kapiga kelele jamaa akaenda chumbani alipofika akakuta binti katulia afu yuko uchi kabisa jamaa akataman akajilaza pemben hapo mwisho wa sku akala mzgo nae walimkuta nje asbh kala visu vya kutosha!!

Niipenda sana hii stori hasahasa wakati wa uchunguzi na wakati wa kesi nahakamani ilikua ni hatari ila mwisho wa kesi binti alishinda kesi kwa point kuu moja ya kua alikua bila kujua!!

Yale majini yake mawili ni nafsi ambazo zilizaliwa mwilini mwake ili zimsaidie kukabiliana na uchungu na msongo wa mawazo Yaliyo savabishwa na kubakwa kila siku na baba yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo novel nilishaisoma Ila ilikuwa Hilo tatizo lipo ukweli Kuna watu wanavyonyanyaswa kijinsia au wakiwa wadogo hiyo Hali inawatokea
 
Kulikoni Tena Mpwa?
Mkuu si ndo ile wakaimove post yangu na kuonekana imetumwa tarehe sawa na siku uzi unaanzishwa halafu nauliza moderator anajibu itakua nimepitiwa ila mimi niliandika komenti siku inayoonekana hapo. Nikaona kwahiyo huyu anajua mimi chizi sijui kama hiki kitu nimeandika leo? Na akakana kua jf haina uwezo wa kuedit post ya mtu na kubadili mpaka tarehe
 
Pole sana Mpwa! Naamini utatupia humu!
 
Napenda sana kufuatilia Haya mambo
Naangalia sana ice cold killers, Cold justice, Medical detective
Hizi naanglia kila siku
Kwa jinsi serial killers wanavyoanza ni kama utani
Wengine wakiangaliwa maisha yao ya utotoni walianza na kuuwa wanyama
Wengine ni wanaorudia rudia kuuwa ni kwa sababu wamefanikisha na saaa wanaona kumbe naweza kuuwa bila kukamatwa
Jinsi forensic experts wanavyo wakamata ndio balaa
Unakuta kesi inaenda mpaka miaka 20
Na mwisho anakuja kukamatwa mtu ambae hata maisha kabadili kabisa au kuhamia mji mwingine na ana famiia na watoto

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Yeah most of serial killers ni wale wanaolipa visasi halafu wanajikuta wananogewa! Mmoja wakati anahojiwa alisema alikua anapenda vile Roho ya mtu inavyotoka! Na yale maneno kama don't kill me, etc!
 
Back
Top Bottom