Kwa wapenzi wa documentaries

Kwa wapenzi wa documentaries

kuna CEO mmoja alimkuta mwenzake anasoma 7 habits of highly effective people akamwambia "throw that away buy sun-tsu". itabidi niitafute hii documentary.
True, the guy was a brilliant strategist indeed!!
 
medical dectactive,inahusu kesi za mauaji na uhalifu zinavyotatuliwa kwa njia ya vinasaba.
 
kuna CEO mmoja alimkuta mwenzake anasoma 7 habits of highly effective people akamwambia "throw that away buy sun-tsu". itabidi niitafute hii documentary.

Mkuu huyo general Sun -tsu ni noma sana..hii ukisoma kitabu chake ndio utafaidi sana..simply because documentry nyingi zinazohusu Art of War huwa zimebase kwenye kuprove war tactics ila ukitaka kuitumia art of war kwenye maisha ya kawaida download kitabu...
Afu uzuri wake sio kikubwa sana hata kwa sisi wavivu wa kusoma vitabu hakiwezi kubore..at the same time watch the documentary...
Hiyo Art of the war imetumika kwenye warfare nyingi sana..Napoleon invention...D.Day ya WWII..Gulf war..Iraq war..utaenjoy..
Cc Good Boy thanks kwa kunikumbusha Art of the war
 
Eqlypz tunaomba utuwekee sticky hii thread ili tuweze kureview kirahisi tutapohitaji kuangalia documentaries hizo maana zimetajwa nyingi. pia itasaidia ku update kirahisi mara tuonapo documentary mpya. kama hapa patazingua uipeleke hata jukwaa la elimu au intelligence. naomba pia unirekebishie title isomeke documentaries.
 
Mkuu huyo general Sun -tsu ni noma sana..hii ukisoma kitabu chake ndio utafaidi sana..simply because documentry nyingi zinazohusu Art of War huwa zimebase kwenye kuprove war tactics ila ukitaka kuitumia art of war kwenye maisha ya kawaida download kitabu...
Afu uzuri wake sio kikubwa sana hata kwa sisi wavivu wa kusoma vitabu hakiwezi kubore..at the same time watch the documentary...
Hiyo Art of the war imetumika kwenye warfare nyingi sana..Napoleon invention...D.Day ya WWII..Gulf war..Iraq war..utaenjoy..
Cc Good Boy thanks kwa kunikumbusha Art of the war
mi pia hupendelea zaidi vitabu. nimewahi kidownload kikafa na kompyuta ngoja nikitafute tena. nahisi kinafanana sana kimoja kinaitwa millitary marvericks kinazungumzia wakina shaka zulu, alexander the great, patton, lawrence of arabia na wengine kibao waliofanikiwa vitani.
 
kuna audi book zake online(YouTube)! Wanakusomea kitabu kizima we ni kuidownload convert t to audio unaweka kwenye simu na headsets zako unasomewa kitabu kizima!! I have it, ila documentary nayo its pretty cool kuna vitu kwenye kitabu vinaelezewa vyema zaidi!
mkuu Sun Tzu ndio ulinikutanisha na hiki kitabu tia neno!!
 
thanks kwa maujanja mkuu. kuna moja inaitwa hubble: space telescope. inahusu maisha ya hii telescope na ugunduzi iliyofanya kwenye anga za mbali.
 
Wakuu Jana usiku niliichek documentary ya rise and fall of Pablo Escobar ....du hyu jamaa ni noma alifikia hatua hadi anaua majaji,alikuwa anafanya ivo akihofia extraodinary kwenda marekani
 
Extradited ...
 
napendaga sana mbinu ya kutoa misaada ambayo hutumia hawa jamaa ili kupata support ya wananchi. give them something to loose and they will never rise agaist you.
 
Mdau kwenye list yako mi nimeambulia namba 18 Living with Michael Jackson...I guess na moja ilikua inaongelea "the man behind Tupac's death"
Otherwise documentary niliziwai ziona na kuzifurahia no
The Men Who Built America (hii ndio my favorite) itafuteni wadau mtaipenda inahusu how America rose to become the strongest capitalist country na jinsi hao matajiri wa kipindi hicho walivyokua wanaziona opportunities na kuzidominate..
Nyingine ni "how CIA protects US president "

Steve Jobs the documentary..
Killing of Lincoln...
Downs Nightmares
D.Day how hitler was defeated

Shukrani Mkuu. Kwenye list yako sijaziona The Men Who Built America, how CIA protects US president na Downs Nightmares. Nitazitafuta.
 
Kama unaweza mkuu anza na "The Men who built America" kaka kama kweli we ni mfatiliaji wa affairs za America utaenjoy sana..yahani hii documentary it's so touching mpaka basi ni ka vile unawatch series flani..
Itafute kaka you won't regret
 
Sawa mkuu nitaitafuta.
 
I guess hii ilikua inahusu sanda ya Yesu na sio msalaba...au zipo mbili mkuu..?? Maana niliyoiona mimi ni kuhusu sanda

Zipo mbili mkuu; ya sanda sijaiona but ya msalaba ilichukuliwa kipande kikafanyiwa Carbon 14 dating
 
Yaani nimeshindwaga kuangalia movie kabisa!
Documentaries are my thing.So far kwenye external drive yangu nina kama 250 documentaries na zilizonikosha zaidi ni:

1.Heart vs Mind (what makes us human)
Hii inaelezea nini kinatengeneza ule ubinadamu,ubongo au moyo,kwanini ukimpenda mtu unasema nakupenda kwa MOYO wangu wote wakati kazi ya moyo ni kupump blood? Kwanini ukipokea taarifa mbaya unasema moyo unakuuma? Very interesting!

2.Nyingine ni Princess Diana,maisha na kifo cha huyu dada,ni ya masaa matatu,ina siri nyingi sana za ukoo wa ufalme wa Uingereza!

3.The birth of Israel
Taifa la Israel limeanzaje occupation yake pale middle east,kuna kipindi wayahudi walivyokuwa utumwani walimtuma mtu akafuatilie ardhi yao as per the bible teachings na promises,jamaa akafika hadi walipo wapalestina sasa alivyorudi akawajibu "The bride is very beautiful but she's married to another person"... interesting pia
 
Kama unaweza mkuu anza na "The Men who built America" kaka kama kweli we ni mfatiliaji wa affairs za America utaenjoy sana..yahani hii documentary it's so touching mpaka basi ni ka vile unawatch series flani..
Itafute kaka you won't regret
nimeangalia the men who built america episodes zote nane. ni moja documntary nzuri sana kati ya nilizowahi angalia. shukrani sana mkuu.
 
kuna nyingine nimecheki karibuni inaitwa the act of killing. inahusu jinsi serikali ya indonesia ilikuwa inaua wa communist. sijaipenda sana japo ilikuwacnominated kwenye oscar.
 
Back
Top Bottom