Kwa wapenzi wa documentaries

Kwa wapenzi wa documentaries

kuna nyingine nimecheki karibuni inaitwa the act of killing. inahusu jinsi serikali ya indonesia ilikuwa inaua wa communist. sijaipenda sana japo ilikuwacnominated kwenye oscar.

Niliiona hii, jamaa walikua wanauana brutally kwel. Kunyonga mtu na waya ilikua kawaida 2
 
jana nimeicheki fahreinht 911. ni documentary nzuri sana. ni highest grossing documentary of all time!.
 
pia karibuni nimecheki the great serengeti ambayo inahusu kuhusu kuhamahama kwa nyumbu, ni nzuri sana.
 
jana nimeicheki fahreinht 911. ni documentary nzuri sana. ni highest grossing documentary of all time!.

Mkuu kama umeipenda hiyo nakushauri pia utafute Bowling for Columbine, Sicko na Capitalism, a love story ambazo zote ni za Michael Moore.
 
Kumbe JF pia kuna wapenzi wa documentaries. Huu mimi ni ugonjwa wangu, napenda zaidi Documentaries kuliko hata movies. Kali nilizoziona mpaka sasa ni :

1.Bowling for Columbine (Kuhusu wanafunzi wa Columbine high school, huko Colorado USA walivyowaua wenzao na gun culture huko
Marekani kwa ujumla)

2.Inside Job (Kuhusu nani hasa walihusika kusababisha global financial crisis mwaka 2008)

3.AIDS Inc. (Kuhusu jinsi ambavyo tatizo la Ukimwi limegeuzwa kuwa la kisiasa na si la kiafya)

4.Fahrenheit 911 (Kuhusu jinsi wamarekani walivyoongopewa na serikali yao mpaka wakakubali kuvamia Iraq baada ya matukio ya 9/11)

5.The smartest guys in the room (Kuhusu jinsi Kampuni kubwa ya nishati ya ENRON ilivyoporomoka)

6.Capitalism - a love story (Hii ni kama Inside Job hapo juu)

7.Religulous (Bill Maher ana-exprole imani za dini mbalimbali kubwa duniani)

8.Sicko (Inahusu jinsi gani mfumo wa huduma za afya nchini Marekani ulivyokuwa mbovu)

9.How to get rich selling drugs (Hii inajieleza yenyewe, utakutana na wataalamu wa shughuli hizo)

10.Inside the American Mob (Part 1-6) (Kwa wale wanaopenda kujua kuhusu historia ya American Mafia hizi zitawafaa)

11.The Grizzly Man ( Timothy treadwell aliwapenda sana Grizzly Bears wa huko Alaska, akaenda kuishi sehemu wanazoishi ili kufuatilia
maisha ya na "kuwalinda". Akaja kuuawa, na Bears hao hao aliokuwa anawalinda!)

12.Documentaries zoote kuhusu Tupac

13.Something from nothing: The art of Rap ( Hii inahusu history ya muziki wa rap)

14.Welcome to Deathrow ( Historia ya mojawapo ya hip hop record label zilizopata umaarufu mkubwa)

15.Beef (Part 1-4) (Huhusu historia ya beef (malumbano) kwenye muziki wa rap)

16.Chasing Maddoff (Whisleblowers waliokuwa wakimfuatilia tapeli Bernard Maddoff)

17.The Carter Documentary (Maisha ya Lil Wayne)

18.Living with Michael Jackson ( Mwandishi wa habari Martin Bashir alipewa nafasi ya kuishi na Michael Jackson kwa miezi 6)

19.Backstage (Roc-a-fella, Ruff Ryders Hardknock Life Tour)

20.Street is watching ( Documentary ya kwanza ya Jay Z)

21.Fade to black ( Pia ya Jay Z)

Na nyingine nyingi siwezi kutaja zote.

Mkuu mi pia mpenz sana wa documentaries ila huwa sizipati kwa sana,,km hizo ulizotaja unazo kwenye compyuta na uko Dar na hutojali bac naomba nije kuzibeba na flash
Tafadhali..
 
Mkuu kama umeipenda hiyo nakushauri pia utafute Bowling for Columbine, Sicko na Capitalism, a love story ambazo zote ni za Michael Moore.
bowling fo columbine niliwahi kuiona, nilikuwa sijui kama michael yuko fiti namna hii. ntafuta na hizo zingine.
 
Eqlypz tunaomba utuwekee sticky hii thread ili tuweze kureview kirahisi tutapohitaji kuangalia documentaries hizo maana zimetajwa nyingi. pia itasaidia ku update kirahisi mara tuonapo documentary mpya. kama hapa patazingua uipeleke hata jukwaa la elimu au intelligence. naomba pia unirekebishie title isomeke documentaries.

Sure!!! Mi huwa nikipitia huu uzi napata documentary ambazo sijaziona , then kwa kasi ya ajabu naenda torrent kuzidownload!!!! Maisha yanaendelea.
 
Sure!!! Mi huwa nikipitia huu uzi napata documentary ambazo sijaziona , then kwa kasi ya ajabu naenda torrent kuzidownload!!!! Maisha yanaendelea.
mi mwenyewe nimepata nyingi sana. leo nimecheki moja inaitwa cuban missile crisis three men go to war. ni documentary nzuri sana. bila busara na subira za kennedy leo dunia ingekuwa na historia nyingine kabisa.
 
kuna hii inaitwa auschwitz; nazi's final solution inahusu jinsi wanazi walivyokuwa wanaua wayahudi, wasoviet, waromani na wapoland. inasisimua na kuhuzunisha sana. mbaya zaidi wanajeshi walikuwa wanaamini wanafanya kitu sahihi kwaajili ya nchi yao naa waliua hadi watoto. wanasema jamaa waliua watu 14m. walivyoona kuua kwa bunduki kunawaletea nightmares ndio wakaanza kutumia gesi Bulldog niliona sehemu unasema unapenda documentaries. share nasi.
 
Last edited by a moderator:
kuna hii inaitwa auschwitz; nazi's final solution inahusu jinsi wanazi walivyokuwa wanaua wayahudi, wasoviet, waromani na wapoland. inasisimua na kuhuzunisha sana. mbaya zaidi wanajeshi walikuwa wanaamini wanafanya kitu sahihi kwaajili ya nchi yao naa waliua hadi watoto. wanasema jamaa waliua watu 14m. walivyoona kuua kwa bunduki kunawaletea nightmares ndio wakaanza kutumia gesi Bulldog niliona sehemu unasema unapenda documentaries. share nasi.

Nahisi nimeshawahi kuona kitu kama hiko kupitia youtube
 
Mkuu huyo general Sun -tsu ni noma sana..hii ukisoma kitabu chake ndio utafaidi sana..simply because documentry nyingi zinazohusu Art of War huwa zimebase kwenye kuprove war tactics ila ukitaka kuitumia art of war kwenye maisha ya kawaida download kitabu...
Afu uzuri wake sio kikubwa sana hata kwa sisi wavivu wa kusoma vitabu hakiwezi kubore..at the same time watch the documentary...
Hiyo Art of the war imetumika kwenye warfare nyingi sana..Napoleon invention...D.Day ya WWII..Gulf war..Iraq war..utaenjoy..
Cc Good Boy thanks kwa kunikumbusha Art of the war
niilidownload kitabu sun-tsu. kipo kwa mfumo wa higlight kama kitabu cha methali kwenye bible sikukipenda sana. juzi nemecheki documentary yake ya history channel, aisee ni nzuri sana napanga nikisome tena. wanasema the god father is the sum of all wisdom, no sun-tsu is.
 
hivi karibuni nimecheki documentary moja inaitwa food inc. inazungumzia jinsi makampuni makubwa yalivyomonopolize biashara ya chakula na athari zake kwa wakulima na walaji. jinsi azam anavyojitanua na sisi itakuja sasa hivi. si mbaya kujitanua ila documentary kama hizi zinaatakiwa kutusaidia kuweka taratibu kuepuka maafa yawapatao wenzetu. ni documentary nzuri sana
 
.Bravo two zero
.the longest police shootout (hollywood)
.Aircrash investigation
.Seal team six (raid on Osama bin Laden)
.Sniper bulletproof
.Apocalypse The second world war
.Comando frontline
.Inside 11.9
.Desert Storm
.Airbus A380 the giant of skies
.Boeing 787 the dreamliner
.Missing Malaysia plane MH370
.battle station Apachehelicopter
.A night on earth
.Mighty ship ema maersk
...
.....
......
...........
......
ziko nyingi sana zingine mpaka nifungue computer ndo ntazikumbuka
 
.

.Airbus A380 the giant of skies
.Boeing 787 the dreamliner
.Missing Malaysia plane MH370
.battle station Apachehelicopter

ziko nyingi sana zingine mpaka nifungue computer ndo ntazikumbuka
hizi ntazitafuta hasa ya ema nasikia ndio largest container ship?
 
Naona watu manchanganya Documentary and action or thriller movies. Documentary ni true story isipokuwa imetengenezewa movie mfano.
Megastructure ya Hong kong Airport
Sky City in Japan hii iko kwenye plan ila ukiangalia demo yake tu unachoka
Raid in Entebbe 1977
The Palm Island, Dubai UAE au megastructure Development
 
meltdown ma hippies 'watoto wa mjini' wa Wall Street na the City London financial hub walivyowazidi akili
maginjwi na usanii wao wakangusha uchumi wa dunia..yani kama utani vile..
 
Back
Top Bottom