Thanx kwa apology !!! ni uungwana kubadilishana mawazo bila kukwaruzana , that's great!
Mkuu kuna tofauti ndogo sana kati (thin line between ) ya documentary na conspiracy, ingawa zinafafana sana namna ya kuleta ujumbe.,nadhani hata uienda wikipedia wamefafanua!. lengo la documentary ni kuleta uelewa wa wewe unayesikiliza au kuangalia kipindi hicho, ulike conspiracy lengo lake ni kukuchagulia upande wewe msikilizaji kwa kukupa taarifa za upande fulani, ndio maana nikakwambia kuwa mara nyingi huwa haziwi aired kwa kuwa contents zake ni uchochezi dhidi ya serikali au kikundi fulani.
Umekuwa ukirudia kuwa umeangalia documentary nyingi ,mi nasema nimeziona za kutosha !! naepuka kukwambia nimeziona ngapi sababu sikumbuki na wingi unaosemea siujui unatumia kipimo gani.katika list yako, smart guys (Enron) ni moja ya documentary ,ile ya farenheit 9/11 ni conspiracy.
Kifo cha rais JFK ni moja vifo vyenye conspiracy nyingi sana , kina husishwa na mafia , kuna wenye kuhusisha na russia's KGB , inner cycle haters , womenising habits za JFK .n.k, nimeangalia filamu za kutosha kuhusiana na kifo cha rais huyo ,mind you siku kennedy anauwawa body guard alikua Clinton Hill, maelezo yake ukisikiliza utagundua kifo kilichotokana na just one hatter.
next time chunguza unachoangalia !! ukiona narrator anaelemea upande fulani na wachangiaji wako upande wa msimuliaji jua umenasa kwenye mtego wa conspiracy, It's a bit tricky kufahamu hilo, kwa kuwa nao ni maexpert wa kufanya idea zao kuwa karibu na ukweli,