kwa wanawake tu: Plz naomba tips za Urembo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa wanawake tu: Plz naomba tips za Urembo.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Lady G, Jul 3, 2012.

 1. L

  Lady G JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 517
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hello warembo wa jf, mambo zenu niaje?

  Jamani wadada nauliza makeup gani nzuri kwa kwa mtu mwenye ngozi nyeusi? Msaada please, naomba akina King'asti, AshaDii, Kongosho, Mrembo by Nature, madame x, Madame B na wengine wote mnipatie ushauri...... Najua na nina imani wadada wa humu ni warembo mbaya.

  Hebu ka ushauri jamani. Mwaah to you all.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Mimi sio mwanamke nimefungua kuona unauliza nini. Najuta kuingia cha kike.........
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Hivi na hicho kilemba changu unadhani mie ni mrembo?

  Anyway, naskia Mac ni nzuri, ila sasa ujue kuchagua itayoendana na rangi ya ngozi yako.
  Situmii sana make up coz siendani nazo, nikitumia nakuwa fake sana.

  But naona marafiki zangu wanatumia Mac.
   
 4. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  topic closed
   
 5. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,129
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Huo ni wivu tu Erickb52.
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Hapo umenoa my dear. Mie ni mrembo asilia, I don't wear make up unless I'm getting married (nisha-wear makeup mara sita tu in my life time,lol).

  Ngoja aje wifi yangu AshaDii.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahaaa
  Ngoja yuwafungulie Jukwaa la WAMAMA

  Mwambie na Lady G niko humu kumuwakilisha wife amebanwa kidogo so asishangae niko na Kongosho tunajadili
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Mbona huwa unaniiga?
  Sababu sivai make up basi na wewe huvai?

   
 9. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #9
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  mh,me suala la urembo lilinipita kushoto,nshapaka make up once nlipokuwa nasimamia haruc flan. huwa napaka lotion tu mwilin,usoni sipak chochote make uso wangu una mafuta ajabu! ngoja warembo waje. . .
   
 10. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #10
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,129
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Lady G.
  Kwanza ngozi yako ni Kavu au Ina mafuta?
  Kama ni Face&Neck Tumia MacPowder au Nelly'K Foundation,
  Coz hazichagui type ya ngozi.

  Vipodozi hv ni Made ya Paris na NY.
  Vipo Pale AshNAm'COSMETICS M.City@Sh75,000/=
  Ila be Aware coz vimejaa Mtaani kwa Sh 3500/=!!
  Ila kama upo Mkoani cjui tafanyaje.
   
 11. Little Angel

  Little Angel JF-Expert Member

  #11
  Jul 4, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Yap,mac is the bewst. but awe makin fake zipo kibao asije kumbana nazo then asipate matokeo anayotaka.
   
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,635
  Trophy Points: 280
  Nimekuja hapa kwa ajili yako charminglady.... kukushauri achana na ma makeups fanya mazoezi. Sawa eh?

  [​IMG]
  [​IMG]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #13
  Jul 4, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hehe mazoezi haya lazma afe mtu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #14
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,455
  Likes Received: 755
  Trophy Points: 280
  Watu bwana kama hamna majibu ya alichouliza mwenzenu si mkae kimya tu. Lady G me mwaya natumia foundation ya dror na poda inaitwa guerlain terracotta, ngozi yangu ni nyeusi na ya mafuta.....zipo namba tofauti kulingana na ngozi yake mamii. bei ya dror ni 125,000/= na hyo terracotta ni kaka 90,000/=, before nilikuwa ssipaki chochote coz vipodozi vyote vilikuwa havikai kwa ngozi yangu, ila hizi ni nzuri sana na zinanifanya niwe na muonekano mzuuuuri. Sijui kama kwa tanzania utapata original, mie huwa ninaagiza nje (UK).
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Siri Sirini

  Siri Sirini JF-Expert Member

  #15
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  bora ww mara sita, mie mara moja siku ya ndoa yangu, napenda kubaki nilivyo.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #16
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Am always natural... wala situmii make up yoyote!!!!!!!! babu langu la ukweeeeeeeee
   
 17. j

  jackline patrick New Member

  #17
  Jul 30, 2014
  Joined: Jul 30, 2014
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Urembo muhimu Mamy c unajua kila mdada anatk kuw n mwnekano mzur
   
 18. Paloma

  Paloma JF-Expert Member

  #18
  Jul 31, 2014
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 5,341
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  lishe bora (sio unapika mboga na nusu karoti na hoho afu unasema umepata virutubisho)
  matunda kibao
  maji megi
  acha pombe (well...................)
  fanya zoez kidogo
  usipigwe sana na jua
  vipodoz vitakuja malizia tuuuu maana ngozi tayari itakuwa na nuru asilia
   
 19. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #19
  Jul 31, 2014
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,471
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  Usisahau na kunywa maji ya kutosha.
   
 20. Paloma

  Paloma JF-Expert Member

  #20
  Aug 1, 2014
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 5,341
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  nimeandika hapo mamitooo...........ila labda sikuiandika vizuri 'maji mengi' hehehe unawez ajiuliza maji gani?!?!?
  asante kwa msisitizo
   
Loading...