Kwa wanaume tu: Sababu tatu why nimekupotezea

HAHAHAAAAAAAAA! Matola hivi ananikandamiza kama dozi kutwa mara 3 hawezi kumind! Anajua watu8 NGAMIA WA MAONESHO TU HALIWI NYAMA, ila akiwekwa viwanja vya maonesho aaaaah ANAJAZA UMATI KUMSHANGAAAA, NEEMA ZA ALLAH ZILIVOMSHUKIA! Yeye Matola anajua tu mie katika ule umati nitashangaa, fahari ya macho tu haifilisi duka, jioni natia miguu home kumpikia ugali na tembeleee! Mmmmmmh!

Nilijua katika swali langu lazima Mgiriki azikose point 3 muhimuuu! Morg alikufa juu yake! Enzi hizo mgiriki mgiriki haswaaaa, hapakutshaa humu! Those were the old times!
watu8 unmuita baba unataka kumnyima nini? Acha kujikoshaa ANA KADI LAKO LA KLINIKI? Kakuzaaa? Aaaaaah? Mwnaume asi nduguyo mkubwa mwenzio akhaaaaaa! Kula tunda ujna ungalipo! Ukichoka na kukongoroka kama mie hapa na mkaa wa kwa Matola huku, utajuti nafi hio! Hahaaaaa! Jicho kama lile unajua lifanyaje? Aaaaah kumbe baba yako basi sikwambiii!

Nikopewa talaka je mniokoe! Hahaaaa!

hahahahaa sijasema baba bhana angalia unavyopata mchecheto lol ni babu yangu me ndo mrithi halali wa measkron hahaha ya mgiriki unanikumbusha alivyotegwa kwa new nae kaingia king loooh morg alivyoumbuka aibuje vin ndo mana kakosa soko siku hizi
 
Last edited by a moderator:

Hahaaaaaaaaaa! Vin D jembe lileeee! Mzee wa kazi! Harembiiii! Mkuyatiiii tu! Hahaaaa! Hilo file nalo nililifaidi si utani! Sio kweli mnataka tu KUMCHAFUA muheshimiwa wangu! Akishinda ubunge 2015 au akipewa ubalozi mnaanza kujutaaa kushobokea ngamia wa maoneshooo! Mnaakia sina bahati, sina bahati kumbe fungu la kukosa bahati imekuja mpaka mlangoni na umeikosaaa! Oooooooh! Vin D zilipendwa wangu YOU HAVE TO WIN THE ELECTION OOOOOOH! Its not like you have a choice! You have to win?

Hahaaaa! Eti babu? Mwanaume ana ndugu? Mwanaume ndugu wa kinena tu baaaaaas! (Sio mimi huyoo akuuuuu! Bi Pazi huyo maneno yake) Si babu yako mpe uone kama atasusa? Hahaaaaaa! Fanya kama unamtania uone kazi yake! SIMBA MKALI VYAKE VINALIWA KAMA KAWAIDA ITAKUWA MEAKRON? Nyooooooo! Hahaaa!

Vin D we jikoshe kakosa soko, ngoja tushindw election 2015! #teamvindforlife !!!! Unikumbuke kwenye ufalme wako zilipendwa wangu! Hahaaa! Shutuuu kujikombaaa!
 
Aaaaah! Sio baby walker! Kidude 60,000 tu? Nataka baby cradle, baby stroller kama ya Mange, na ukiweka hio baby walker sio mbayaa!
Hapanaaa chezea uncle watu8! Uncle usituangushe fanya kweli!

hahahaha hivi ya mange dola ngapi vile unataka kumakamua watu8 bureeee afilisi duka kisa mwambie enterpreneur wako tola akaoda kwa mange
 
Aloo itabidi na mimi nianze kuitumia JF effectively. ..
Mi PM nakomaa nayo kujadili biashara za vifaranga wa mayai kutoka Malawi.... kumbe watu wanafikamo mbali.

Aisee...
 
Hahaaaaaaaaaa! Vin D jembe lileeee! Mzee wa kazi! Harembiiii! Mkuyatiiii tu! Hahaaaa! Hilo file nalo nililifaidi si utani! Sio kweli mnataka tu KUMCHAFUA muheshimiwa wangu! Akishinda ubunge 2015 au akipewa ubalozi mnaanza kujutaaa kushobokea ngamia wa maoneshooo! Mnaakia sina bahati, sina bahati kumbe fungu la kukosa bahati imekuja mpaka mlangoni na umeikosaaa! Oooooooh! Vin D zilipendwa wangu YOU HAVE TO WIN THE ELECTION OOOOOOH! Its not like you have a choice! You have to win?

Hahaaaa! Eti babu? Mwanaume ana ndugu? Mwanaume ndugu wa kinena tu baaaaaas! (Sio mimi huyoo akuuuuu! Bi Pazi huyo maneno yake) Si babu yako mpe uone kama atasusa? Hahaaaaaa! Fanya kama unamtania uone kazi yake! SIMBA MKALI VYAKE VINALIWA KAMA KAWAIDA ITAKUWA MEAKRON? Nyooooooo! Hahaaa!

Vin D we jikoshe kakosa soko, ngoja tushindw election 2015! #teamvindforlife !!!! Unikumbuke kwenye ufalme wako zilipendwa wangu! Hahaaa! Shutuuu kujikombaaa!

hahahahahaha vin angekuwa habare ya mjini Heaven on Earth asingemkana kwenye ile interview uliomfanyia akakiri wazi watu8 ndo anaemkosha hahaha ilimuuma mpaka akaanza kula gizani new id's twende loooh me ndo mana nili mkwepa enzi zake zilikwisha lol ila akipata ubunge hawezi kuniacha ata ukuu wa wilaya
 
Last edited by a moderator:
Aloo itabidi na mimi nianze kuitumia JF effectively. ..
Mi PM nakomaa nayo kujadili biashara za vifaranga wa mayai kutoka Malawi.... kumbe watu wanafikamo mbali.

Aisee...

Hata me kuna mtu ananisaidia kwenye project yangu flani hivi sema wengine ndo majanga tu
 
Back
Top Bottom