kingkimwe
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 1,543
- 1,956
Nimecheka hapo ulipoeleza kwamba unakuta vitone kwenye nguo zake za ndani unapofua(nisamehe kwa kucheka)!Nimewaza mbali na mengi.
Hata hivyo,kwa sababu umeamua kuvumilia,ni vema ukatafuta kazi yako ya kujiajiri.Mimi ningeweza;
1-Udobi.Nina uwezo mkubwa wa kufua na kunyoosha nguo aina kwa aina.Hebu na weye jaribu.
2-Ufundi/urekebishaji/Ushonaji wa viatu.Utundu wa kushona(marekebisho)viatu nilijifunza tangu darasa la kwanza.Haiihitaji mtaji mkubwa.Nyuzi,sindano na vigozi vya kuunganishia palipoharibika au kuchanika.
3-Kusafisha na kung'arisha viatu.Kama upo katika mji mkubwa,usione soo!Hizi ni shughuli tumeanza kuzifanya tangu utotoni.Unasafisha raba,viatu vya ngozi na "ku-brush" vingae kwa kiwi.
NB:Hizo ni shughuli zisizohitaji mtaji mkubwa.Jaribu upate mahitaji yako ya kawaida.Kama ulizoea "ubossboss" unakwama.
Bro wazo zur lkn izo kaz xinaendana na kariba ya mtu wewe graduate leo hii uwe fundi viatu kweli ?ujianike apa barabaran dah af labda umepunguzwa kaz kama accountant ama marketer sehem aisee bora uwe ata ndan ya kiwanda kwa kazi ya ku load na ku offload mizigo lkn sehem iliyojificha