Alifanya kazi saiti kwa pesa yake, sasa simu haipokelewi na bosi haonekani

chriper

JF-Expert Member
Mar 14, 2023
332
428
Habarini wanajamvi.

Leo nakuja na kisa hiki cha ukweli ambacho mdau anakipitia anaomba ushauri.

Nina jamaa yangu ni mtu fresh sana hanaga makuu kabisa na mtu kwa navyomfahamu mimi.
Sasa juzi kaniita home kwake ananieleza kwa uchungu huku chozi likiwa limejaa kwenye macho nusra kutoka tu nahisi alijikaza kwakuwa ni mwanaume ile situation iliniumiza nikahisi maumivu sana.

Kisa kipo hivi sasa jamaa anafanya kazi kwenye taasisi moja hvi(****) sasa kwenye hiyo taasisi yao ilitokea wakapata pesa ambazo ziliwalenga kufanya maintenance ya eneo lao la kazi na kuboresha mazingira basi bana wakatafuta mkandarasi wa kufanya hiyo kazi kama watatu hivi wakashindwana kwasababu ya huyo boss wa taasisi kusema bei ni kubwa kwavile mwamba ni mpambanaji akajitosa kuomba tenda akiwa na uwezo ataimudu, akiweka nguvu kazi basi bana deal done mwamba akapewa tenda japo boss wake hakuonesha kusapot kivile japo wanakamati wa ujenzi wali sapoti kwa haki jamaa apewe tenda chap kwa haraka wakamuomba aanze kazi huku wakiandaa mikataba n.k ambayo itahusiana na malipo.

Mwamba akasema yeye hawezi kuanza kazi bila kupata mkataba unasemaje na kuhusu malipo lakini kwavile ule mradi kila mwanakamati alihitaji uende kwa kasi wakamuomba sana mwamba aanze kazi kwa haraka asijali juu ya malipo.

Basi mwamba akawambia yeye ataanza kazi ila anaomba malipo yake yawe kwa awamu mbili, awamu ya kutengeneza foundation na alipwe then awamu ya kumaliza na alipwe basi mwamba akaanza kaz bila kuchelewa akaita mafundi sait wakaanza kazi kwa pesa yake akapiga kazi, akamaliza awamu ya kwanza malipo yakaanza kusua sua mara wamwambie malipo yamekwama bank huku na kule mara boss wake huyo anamwambia mpaka mkandarasi aje kukagua, yeye hawezi pitisha malipo wakamuomba aendelee na kazi ya awamu ya pili huku akisubiri malipo, jamaa akawa hana pesa lakini kwa imani akiamini atalipwa akaenda kukopa pesa ili amalizie kaz ili akilipwa alipwe kamili..

Sekeseke linaanza sasa boss wake huyo kila siku anamzungusha juu ya malipo mara yupo semina mara ikaenda ikarudi mpaka jamaa ikabidi awaite wanakamati wote siku hiyo boss wake akagoma kutokea ikabidi jamaa aende hadi kwa boss wake kumfata, akamkuta yupo anaenjoy na familia yake tu ndo kufanya komand pale boss akamwambia asubirie mkandarasi aje akague ikabidi awe mvumilivu baada ya siku kadhaa mkandarasi akaja nae akapiga biti mara kazi mbovu mara rudia porojo kibao mwamba akawa mnyonge akarekebisha palipokuwa na makosa akamaliza.

Sasahivi akipiga simu ya mkandarasi apokelew wala boss haonekani, mwamba yupo kama kakata tamaa hata akija kazini ni yupo kama mgonjwa, siku moja nikamfuma analia chooni alivyoniona akanawa uso chap. mm nkavunga japo nilielewa kiufupi mwamba anaish kwa mawazo mazito na changamoto za empty pocket hadi anatia huruma.

Anawaza hadi kuroga mtu😃😃.. anasema chanzo cha ubaya na matatizo binadamu wenyewe ndio chanzo.

Ushauri wenu wadau kwa huyu ndugu yetu..
Yote yaliyo andikwa apa ni kwa ruhusa yake. Asanteni.
 
Kifupi jamaa hajielewi yeye aliombwa akakubali kisheria hamna justification hapo? Amefanya tenda bila mkataba!!!!

Nadhni swali la muhimu huyo jamaa alikuwa hana sifa za kupata hiyo tenda? Na sijui aliwezaje kupata mtaji akakamilisha huo radi bila malipo ya foundation!???

By the way jamaa ana kitu atafika mbali, amejifunza vya kutosha hawezi rudia ujinga! Aonane na mwanasheria ampe ushauri.
 
Kifupi jamaa hajielewi yeye aliombwa akakubali kisheria hamna justification hapo? Amefanya tenda bila mkataba!!!!
Nazani swali la muhimu huyo jamaa alikuwa hana sifa za kupata hiyo tenda? Na sijui aliwezaje kupata mtaji akakamilisha huo radi bila malipo ya foundation!???

Zitamfikia taarifa kama ulivyo shauri,
Ila jamaa hajavurunda, kapiga kazi vizuri sana tena ontime sema yule mkuru wetu ana roho ya korosho anatuminya hadi watumish af hashauriki et....

Kuna Fundi mwengine kakalishwa pia na ni mtu wa makamo....sasa akija kidai pale kazn kaweka mikon nyuma had unaona huruma.
 
Kifupi jamaa hajielewi yeye aliombwa akakubali kisheria hamna justification hapo? Amefanya tenda bila mkataba!!!!
Nazani swali la muhimu huyo jamaa alikuwa hana sifa za kupata hiyo tenda? Na sijui aliwezaje kupata mtaji akakamilisha huo radi bila malipo ya foundation!???

By the way jamaa ana kitu atafika mbali, amejifunza vya kutosha hawezi rudia ujinga! Aonane na mwanasheria ampe ushauri.
Lakin pia in few dayz akiwa yupo leve ya foundation mkataba ulikuwa umeshatoka tayar na jamaa alipewa had kopy yake baada ya kusain ishu inakuja kwenye kulipwa tu.
 
Habarini wanajamvi.

Leo nakuja na kisa hiki cha ukweli ambacho mdau anakipitia anaomba ushauri.

Nina jamaa yangu ni mtu fresh sana hanaga makuu kabisa na mtu kwa navyomfahamu mimi.
Sasa juzi kaniita home kwake ananieleza kwa uchungu huku chozi likiwa limejaa kwenye macho nusra kutoka tu nahisi alijikaza kwakuwa ni mwanaume ile situation iliniumiza nikahisi maumivu sana.

Kisa kipo hivi sasa jamaa anafanya kazi kwenye taasisi moja hvi(****) sasa kwenye hiyo taasisi yao ilitokea wakapata pesa ambazo ziliwalenga kufanya maintenance ya eneo lao la kazi na kuboresha mazingira basi bana wakatafuta mkandarasi wa kufanya hiyo kazi kama watatu hivi wakashindwana kwasababu ya huyo boss wa taasisi kusema bei ni kubwa kwavile mwamba ni mpambanaji akajitosa kuomba tenda akiwa na uwezo ataimudu, akiweka nguvu kazi basi bana deal done mwamba akapewa tenda japo boss wake hakuonesha kusapot kivile japo wanakamati wa ujenzi wali sapoti kwa haki jamaa apewe tenda chap kwa haraka wakamuomba aanze kazi huku wakiandaa mikataba n.k ambayo itahusiana na malipo.

Mwamba akasema yeye hawezi kuanza kazi bila kupata mkataba unasemaje na kuhusu malipo lakini kwavile ule mradi kila mwanakamati alihitaji uende kwa kasi wakamuomba sana mwamba aanze kazi kwa haraka asijali juu ya malipo.

Basi mwamba akawambia yeye ataanza kazi ila anaomba malipo yake yawe kwa awamu mbili, awamu ya kutengeneza foundation na alipwe then awamu ya kumaliza na alipwe basi mwamba akaanza kaz bila kuchelewa akaita mafundi sait wakaanza kazi kwa pesa yake akapiga kazi, akamaliza awamu ya kwanza malipo yakaanza kusua sua mara wamwambie malipo yamekwama bank huku na kule mara boss wake huyo anamwambia mpaka mkandarasi aje kukagua, yeye hawezi pitisha malipo wakamuomba aendelee na kazi ya awamu ya pili huku akisubiri malipo, jamaa akawa hana pesa lakini kwa imani akiamini atalipwa akaenda kukopa pesa ili amalizie kaz ili akilipwa alipwe kamili..

Sekeseke linaanza sasa boss wake huyo kila siku anamzungusha juu ya malipo mara yupo semina mara ikaenda ikarudi mpaka jamaa ikabidi awaite wanakamati wote siku hiyo boss wake akagoma kutokea ikabidi jamaa aende hadi kwa boss wake kumfata, akamkuta yupo anaenjoy na familia yake tu ndo kufanya komand pale boss akamwambia asubirie mkandarasi aje akague ikabidi awe mvumilivu baada ya siku kadhaa mkandarasi akaja nae akapiga biti mara kazi mbovu mara rudia porojo kibao mwamba akawa mnyonge akarekebisha palipokuwa na makosa akamaliza.

Sasahivi akipiga simu ya mkandarasi apokelew wala boss haonekani, mwamba yupo kama kakata tamaa hata akija kazini ni yupo kama mgonjwa, siku moja nikamfuma analia chooni alivyoniona akanawa uso chap. mm nkavunga japo nilielewa kiufupi mwamba anaish kwa mawazo mazito na changamoto za empty pocket hadi anatia huruma.

Anawaza hadi kuroga mtu😃😃.. anasema chanzo cha ubaya na matatizo binadamu wenyewe ndio chanzo.

Ushauri wenu wadau kwa huyu ndugu yetu..
Yote yaliyo andikwa apa ni kwa ruhusa yake. Asanteni.
Atoe notice ya kufanya ubomoaji au aende mahakamani
 
Kifupi jamaa hajielewi yeye aliombwa akakubali kisheria hamna justification hapo? Amefanya tenda bila mkataba!!!!
Nazani swali la muhimu huyo jamaa alikuwa hana sifa za kupata hiyo tenda? Na sijui aliwezaje kupata mtaji akakamilisha huo radi bila malipo ya foundation!???

By the way jamaa ana kitu atafika mbali, amejifunza vya kutosha hawezi rudia ujinga! Aonane na mwanasheria ampe ushauri.
Kwa mawazo yangu ana haki kisheria kudai haki yake. Mkataba waweza kuwa wa maandishi au maneno. Tatizo ni yeye kuweza kuihakikishia mahakama kuwa alikubaliwa kufanya ujenzi.
 
Back
Top Bottom