Wanaume tuzungumze kidogo na kupeana ushauri

PharaohMtakatifu

JF-Expert Member
Jul 3, 2023
659
1,074
Hope mpo poa wakuu

Wanaume Daima tunakaribiwa na changamoto mbalimbali za maisha katika kuhakikisha familia zetu zinapata chochote kitu Kila siku.

Kwa namna Moja au nyingine wanaume wengi tumekabiliwa sana na upungufu wa nguvu za kiume Hilo lipo wazi. Hii imechangia sana na mfumo wa wetu wa maisha tunavyoishi halikwepeki hata upinge Kwa namna gani.mwanaume wa Leo kushindia soda na chips nikawaida sana au hata akijaitahidi basi Asubuhi atakunywa chai na chapati.

Nimeyaishi hayo maisha Mimi ya kula vyakula visivyo na virutubisho mhimu matokeo yake nikawa sifanyi vizuri Kila napokutana na mwanamke hata awe mzuri vipi nilikuwa naenda round1 Hadi kesho yake Tena sa9 napiga cha2 na haichukui Dk3 kwisha habari yangu.

Akili yangu ikanituma kuwa nimelogwa sio Bure nakumbka demu wangu niliyekuwa na mgonga vilivyo ndio aliye niambia kuwa wewe umelogwa na Mimi nikaamini ikabidi niende Kwa sangoma na kweli sangoma aliniambia nimerogwa na demu niliye mkataa bila sababu kwa sababu walikuwa wengi sikumtambua Moja Kwa Moja (jamaa aliniambia nikamuomba msahamaha huku natumia dawa zake fln za kunywa) nikatumia kama wiki1 zikaisha bilabila ikabidi nianze kununua dawa tu Kwa wauzaji bila mafanikio yyte nimenunua mno dawa zinaitwa zangamba, kiboko, nk lkn sikufanikiwa hata wamasai wamekula mno Hela zangu bila mafanikio.

Ndipo nikamwambia swala langu jamaa mmoja mtu wa dini sana (msabato) akaniuliza vyakula navyokula mara nyingi zaidi kuanzia miezi3+ nikataja na vinywaji akasema tatizo lipo hapo je kg Umepima zimeongezeka au ? nikasema zimeongezeka sana kutoka 72-89

Akanishauri nibadirishe lifestyle yangu ndani ya mwezi mmoja na nihakikishie nafanya kazi za kutoka jasho au mazoezi hasa kukimbia nikatekeleza hayo

Alinishauri Nile Hivi

Asubhi kabla sijala kitu ninywe maji walau glas 3 au hata2 lkn nihakikishe nimekunywa maji kabla hata sijapiga mswaki

Chai nisipende badala yake ninywe uje lishe

Mchana hakikisha umekula ugali Dona iwe mahindi mtama nk wa kushiba kabisa ila iwe Dona na nisikoswe mboga za majani hasa majani ya maboga yasiungwe ila ispokuwa Kwa karanga tu

Usiku usile sana au usile kabisa kula. Matunda tu kadili uwezavyo na iwe mapema

Punguza wali,sukari,vyakula vya viwandani, nk

Na daima tumia chai ya tangawizi na mchai mchai chai pamoja na asali Kila siku jion unapotoka kwenye majukumu Yako ya Kila siku

Usikoswe asali mbichi kwako kamwe maisha Yako yote iwe ni dawa Yako hiyo kabla hujalala kunywa vijiko2 au weka kwenye maji vuguvugu Kila unapoitaji.

Mazoezi na kazi nzito ziwe kwenye party ya maisha Yako

Kwa sababu nilikuwa nimeaibika vya kutosha Moja Kwa Moja nilifanya kama alivyo nielekeza wiki2 tu nikahisi badiriko kubwa sana ..(muda huo mademu nakwepa sana) ikabidi niombe game Baada ya kufikisha wiki2 na siku kadhaa huwezi amini nilipiga show Kali sana Hadi demu akasema nimemeza dawa na vile alizoea akija anakuta soda geto hakuzikuta akauliza mbona soda hamna nikamwambia nimechange mtindo wa maisha!

Ndg zangu Hadi Sasa soda sipendelei kabisa na kwangu kwenda show mara6-8 nikawaida kabisa kama demu nimemuelewa na muda mwingi Hadi nachoka tu ila chuma Bado kimesimama wengi Huwa wanashangaa sana.

Na pale napokuwa kazini (Camp) siwezi pata mahitaji yangu ya tangawizi, mdalasini, karafu na Asali basi Huwa natumia hiki kiungo (Angalia picha chini) na nunua then nakuwa nacho Kwa room muda wote Hadi nikirudi nyumbani ambapo wife anajua kabisa hivyo huniandalia Kwa ubora zaidi Tangawizi mbichi asali ya kununua kabisa Kwa mtu tunae mfahamu ambayo ni og.

Natumia Hivi nikiwa kazini.
Moja ya chupa ni Tea masala Ina tangawizi,mdalasini, karafu nk

Chupa nyingine ni Asali unaweza nunua asali popote utakapoita ila iwe original sio fake.

Je wewe ulitumia Nini ukawa Bora zaidi? Tuambie.
Ahsantee
View attachment 2797508
 
Attachments

  • IMG_20231030_012700_343.jpg
    IMG_20231030_012700_343.jpg
    39.2 KB · Views: 11
Alikupa ushauri mzuri sana Sasa mi kuongezea kidogo tu fanya yote hayo ila Kila siku tembea angalau dk 45
Iko hivi kama unarejea kwako kwa usafiri basi shuka vituo vitatu kabla Kisha tembea au tenga mda kazini tembea hata bila sababu
Matunda jitahidi ule Yale ya base na si acidic
Mf kula ndizi papai parachichi tango Juisi ya ukwaju hivi vitakupa nguvu zaidi
Barikiwa Afya ndio mtaji
 
Mazoezi au kazi za nguvu hazina uhusiano na nguvu za kiume ni dhana tu ambao imejengeka kwa watu.
 
Nguvu za kiume zinategemea saikolojia sana mkuu , huwezi ukawa na msongo wa mawazo na bado mzigo ukasimama ndii na ukilazimisha lazima ukojoe ndani ya dk 3 na hutoendelea tena.

Msongo wa Mawazo unafanya uume unakua hauna tofauti na utambi amini au usiamini ila ndiyo hivyo.
 
mkuu mi mwenyewe nilihangaika sana baada ya perfomance kupungua sana, supu ya pweza na shombo lake lote nimebugia sana, lakini wapi
wamasai mamenipiga sana na marando yao ya mbao.
Kuna siku nimekutana na mtoto mkali , yaani hata dakika haijaisha nishakojoa. nilifedheheka sana. na ukisha kojoa kajamaa kanala mazima hadi baada siku mbili tatu
nilitaka kukata tamaa, kuna mtu akaniambia kama hujapata tiba ni dhambi kukata tamaa
nikaendelea kutumia tiba kadhaa, nikabahatisha iliyonipa ahueni
nilivyokuja kukutana naye ,hakuamini kama ni mimi
sasa hivi niko poa na umri wangu wa 53 nakojoza madogo kama kawaida, hadi wakojoe na mimi nakojoa zangu
tiba zipo ila wengi waongo
 
Alikupa ushauri mzuri sana Sasa mi kuongezea kidogo tu fanya yote hayo ila Kila siku tembea angalau dk 45
Iko hivi kama unarejea kwako kwa usafiri basi shuka vituo vitatu kabla Kisha tembea au tenga mda kazini tembea hata bila sababu
Matunda jitahidi ule Yale ya base na si acidic
Mf kula ndizi papai parachichi tango Juisi ya ukwaju hivi vitakupa nguvu zaidi
Barikiwa Afya ndio mtaji
Ahsantee sana mkuu saivi naishi kiasili zaidi.
 
Nguvu za kiume zinategemea saikolojia sana mkuu , huwezi ukawa na msongo wa mawazo na bado mzigo ukasimama ndii na ukilazimisha lazima ukojoe ndani ya dk 3 na hutoendelea tena.

Msongo wa Mawazo unafanya uume unakua hauna tofauti na utambi amini au usiamini ila ndiyo hivyo.
Nikweli mkuu lkn na mamb hayo yanachangia niliyosema Kwa kiasi kikubwa
 
mkuu mi mwenyewe nilihangaika sana baada ya perfomance kupungua sana, supu ya pweza na shombo lake lote nimebugia sana, lakini wapi
wamasai mamenipiga sana na marando yao ya mbao.
Kuna siku nimekutana na mtoto mkali , yaani hata dakika haijaisha nishakojoa. nilifedheheka sana. na ukisha kojoa kajamaa kanala mazima hadi baada siku mbili tatu
nilitaka kukata tamaa, kuna mtu akaniambia kama hujapata tiba ni dhambi kukata tamaa
nikaendelea kutumia tiba kadhaa, nikabahatisha iliyonipa ahueni
nilivyokuja kukutana naye ,hakuamini kama ni mimi
sasa hivi niko poa na umri wangu wa 53 nakojoza madogo kama kawaida, hadi wakojoe na mimi nakojoa zangu
tiba zipo ila wengi waongo
Ahsantee sana mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom