Ushauri wa bite kwa wanaume wote ambao wanahitaji familia Bora na Imara

Ernst kipire

JF-Expert Member
Dec 16, 2019
286
291
Hbr Wana jamvi........
Natumai mu wazima wa afya, Amen.

Leo naongea na wanaume wote lijali na ambao kesho wanahitaji kuwa na familia Bora yaani familia isiyo kuwa na kizazi Cha ovyo.

Najua mnajua juu ya janga lingine ambalo linaikumba dunia kwa sasa, janga hili htr la ushoga, usagaji na tabia za kuingilia wanawake kinyume na maumbile(usenge).

Janga hili linaonekana dogo kwa sas lkn badae Kama miaka 10 Hadi 20 janga hili litakuwa kubwa San hususan Tanzania.

Sasa ushauri wangu upo kwa wanaume ambao wapo ktk ndoa na wanafikiria kuingia hasa kwa wanao shiriki , fikiria kushiriki na ambao bado hawajafikiria tabia ya kuwaingilia kinyume wanawake.....

hii tabia imekuwa kubwa na inachagizwa Sana na video za ngono zinazo sambazwa mitandaoni sas kun watu wamekuwa wakiwafanyia vitendo hvo Hadi wake zao, oya man huo ni ujinga na ushamba.

kwaz unatakiwa kujua wengi ya wanawake wanao kubali kufanyiwa hvo ni Malaya walio kubuhu.

Tabia hii ukiwa unamfanyia mkeo tambua uenda ukazaa shoga au msagaji hpo kesho sababu msenge lazima azae msenge, this is fact.

hvo wanaume wenzangu naomba tafakari hili. kwa familia Bora kesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom