Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
Nliwapiga picha...
hahahahaha we nidanganye tu ngoja nimwambie excel anibadilishie kifaaa
Nliwapiga picha...
hahahahaha we nidanganye tu ngoja nimwambie excel anibadilishie kifaaa
Hakuna shida Binamu....najua binamu nyama ya hamu so nikiwa na wewe sitapata njaa wala kiuRatiba utaipata tu ondoa shaka
ila itabidi uanze kuongoza namimi binamu yako
Hakuna shida Binamu....najua binamu nyama ya hamu so nikiwa na wewe sitapata njaa wala kiu
Hahahahahaaaa binamuuuuuuuuuu
Halafu siku hizi sikusomi binamu....kunani huko?hahahahahahahaaaaaaaaaaaa binamu bhana haya
Halafu siku hizi sikusomi binamu....kunani huko?
hahahahahahahaaaaaaaaaaaa binamu bhana haya
bi'mdogo mie nataka kampani yako wakati wa tua!!!
Halafu siku hizi sikusomi binamu....kunani huko?
Namsemea mke wangu. Naunga mkono hoja. Mkatalii huko mtuwache tupumue na michepuko yetu kwa raha zetu.
You and your dirty minds. Be positive just this once, kwamba wamama wamejipa tour ili kusahau stress za kazi, nyumba na familia. Ni mara moja kwa life time na itarejuvenate mapenzi ya njia kuu. What if we learn about katerero enroute (of course kwa story tu na sio practise).
wakati wa tua ndo nini?
call it being negative, lakini kama mlikutana kwenye jf party na wanaume wakiwemo, mkarudi na drama zenu hapa za sijui nani kamsema nani nini. na kusambaziana picha mlizopiga huko kwenye party zikiwa na utambulisho lukuki kuwa huyu ni fulani na alikuja na viatu kama ndala. seuze mkikutana wenyewe kwa wenyewe, si mtarekodiana mkiwa mnaoga?
my take, kuna baadhi ya wadada wa jf naweza kufanya nao hii trip kwa sababu tumeshazoeana na nimewaona bhange kama mimi. we are easy going, hakuna 'fussy' life na kununiana nuniana kama watoto. kuweni waangalifu na mhakikishe mnacop huko muendako. nasubiria trip report iliyo positive labda itanishawishi na mie kuja kuwaunga mkono kwenye trip yenu ya sub-saharan africa kama sio uarabuni
Kutokutoa ruhusa haimaanishi kuwa hubbies wa kaliba hiyo sio loving na waelewa...
Kujali kukizidi hupelekea wivu hence ndio kuanza kunyimana ruhusa kama hizi...
Kumbe bhange haijakusaidia kutokuwa muoga?
Inabidi uongeze dozi, kila baada ya masaa manne vuta msokoto mmoja. Soon uoga utaisha!
Mi mikutano ni humu tu kwingine sionekanii ng'ooooo staki kujuana na mtuuu
mkienda road trip/ tour..ama tua kwa kikwetu!
Naam, mambo ya kukutana sijui kwenye ma party au sijui ma nini nini huko wengine wala hatuyahusudishi.
Mi huwa nawaambia ntakuja halafu sitokei. Sipendi kabisa kukutana kutana na mijitu ya humu. Wale watu wawili au watatu niliokutana nao kutoka humu huwa nawahesabu kuwa wana bahati sana maana nipo kama yule mnyama (nimemsahau jina) ambaye kuonekana kwake ni nadra.
Ila nahisi nishakutana na watu kibao huko kwenye mishemishe bila ya mimi kuwajua na wao kunijua.
Am I antisocial?