Kwa wamama/wanawake wa MMU na JF

Kwa wamama/wanawake wa MMU na JF

Kaunga

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Posts
12,529
Reaction score
13,502
Natumaini mko vizuri.

Nimekuwa nikiwaza kwa muda sasa; kwanini tusifanye saving ili mwakani tufanye a two weeks road trip kuzunguka East Africa? Tukianzia Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi then tunarudi kupitia Kigoma. Ninaamini by that time barabara ya Kigoma to Mamyoni itakuwa almost complete.

In every country tutembelee atleast exciting site au tourist attraction moja. I am sure in all 5 coutries kutakuwa na JF members wanaoweza kutuonesha vijiwe vya kula bata.

What do you think ladies? Lets go wild......
 
Namsemea mke wangu. Naunga mkono hoja. Mkatalii huko mtuwache tupumue na michepuko yetu kwa raha zetu.

Hahahaha, kweli a two weeks break itaboresha mahusiano. Maana utagundua michepuko hiyo sio mitamu kama mrs. ASA. So ruksa kuonja bungo ili ugundue utamu wa passion.
 
wazo zuri da Kaunga....naunga mkono hoja
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha, kweli a two weeks break itaboresha mahusiano. Maana utagundua michepuko hiyo sio mitamu kama mrs. ASA. So ruksa kuonja bungo ili ugundue utamu wa passion.

Njia kuu tunaiachia treni. Wakati mnarudi msisahau kutubeep ili michepuko irudi kwenye njia zao kuu.
 
we babu nawe mbona slow leaner hivo...mie nimeona hilo wazo ni zuri tu kwa walengwa. lakini bikra yangu ipo pale pale...lol!!
Kumbe na wewe ni mwanamke. Basi mi nikajua bado msichana mwenye bikira yake takatifu.
 
babu Asprin i mc u...mbona jana cjakuona maeneo!

Nilikuona ulivokuwa unamshangilia Diamond kuliko unavyonishangilia mimi boifrend wako. Nikakata tamaa kuja kukusalimia.
 
we babu nawe mbona slow leaner hivo...mie nimeona hilo wazo ni zuri tu kwa walengwa. lakini bikra yangu ipo pale pale...lol!!

Ntafute nikusaidie kuikata, isije ikaziba kiburudisho.
 
Wazo zuri sana ila wengine ruhusa sijui kama tutapata,kwa walio free jitahidini kulifanyia kazi.
 
Ngoma droo na siye tutapata michepuko ya kigeni.

Afu wewe usinitibue nikamtafutia hubby wako mchepuko kipindi hiki usichoweza kuwa njia kuu ya kikojoleo chake.

Shauri zako.
 
Afu wewe usinitibue nikamtafutia hubby wako mchepuko kipindi hiki usichoweza kuwa njia kuu ya kikojoleo chake.

Shauri zako.

Loh! Kwa hapo umeniweza babu,nisamehe mie
 
Namsemea mke wangu. Naunga mkono hoja. Mkatalii huko mtuwache tupumue na michepuko yetu kwa raha zetu.

Hahaha...mpwa unajuaje kama hilo jitrip ni njia mojawapo ya mai waifu wetu kutafuta michepuko ya kigeni...

Think babu think....
 
Hahaha...mpwa unajuaje kama hilo jitrip ni njia mojawapo ya mai waifu wetu kutafuta michepuko ya kigeni...

Think babu think....

You and your dirty minds. Be positive just this once, kwamba wamama wamejipa tour ili kusahau stress za kazi, nyumba na familia. Ni mara moja kwa life time na itarejuvenate mapenzi ya njia kuu. What if we learn about katerero enroute (of course kwa story tu na sio practise).
 
Wazo zuri sana ila wengine ruhusa sijui kama tutapata,kwa walio free jitahidini kulifanyia kazi.

I can understand, si unaona watu8 keshaanza kufikiria kuwa tunatafuta michepuko huko as if unahitaji kuvuka boarder kuchepuka.
 
Last edited by a moderator:
I can understand, si unaona watu8 keshaanza kufikiria kuwa tunatafuta michepuko huko as if unahitaji kuvuka boarder kuchepuka.

Sidhani km alikuwa siriaz ktk hilo
 
Last edited by a moderator:
Hahaha...mpwa unajuaje kama hilo jitrip ni njia mojawapo ya mai waifu wetu kutafuta michepuko ya kigeni...

Think babu think....

Hili nalo neno.

Say No to the trip!!!!
 
Back
Top Bottom