Kwa wamama/wanawake wa MMU na JF

Kwa wamama/wanawake wa MMU na JF

umeona eeh? paw akichepuka inabidi atoe disclaimer ukidakwa at your own risk mie ntajitetea mwenyeweeee

shida ya ubuyu wa embe unajiramba, watatustukia. afu mbegu tunaweka wapi?
Huyo mtu hajipendi, ama anataka akupe warning? Mie si alkaida bana.
Ila sasa sihi niko mpole, maneno hamna, natembea vindimu tu

Ha ha ha ha, drama queen! Paw ana kazi aisee, kwa mtindo huu, inabidi akitaka cheat aende kufanyia Syria kabisa.

Mie nitakuja na ubuyu wa embe kabisa ili nisisumbue watu.
 
Ubuyu wa embe hauna mbegu, ila hata ule wa mbegu mtamu.

Ngoja nitoroke kazini nikautafute, leo nna hamu nao kama ninni.

umeona eeh? paw akichepuka inabidi atoe disclaimer ukidakwa at your own risk mie ntajitetea mwenyeweeee

shida ya ubuyu wa embe unajiramba, watatustukia. afu mbegu tunaweka wapi?
 
hahaha, haya bwana. mie sikulagi ubuyu. anything with artificial colouration staki binti mtambuzi mie.

Ubuyu wa embe hauna mbegu, ila hata ule wa mbegu mtamu.

Ngoja nitoroke kazini nikautafute, leo nna hamu nao kama ninni.
 
unawaonaje hao? wanatumia chinjio ambalo ni digital msumeno wa laser. unachinjika mwamba seuze shingo ya kondoo?

(disclaimer: i am taking responsibility for only what i wrote, not what you understand. Aone Kiranga kwa fasiri na tafsiri)
Huyu kondoo anachinjika kweli? Asije akala kisu.
 
Last edited by a moderator:
hehehe, full drama! kama huyo bwana harusi wako hajakua at that age, unadhani tutakua lini? kukua ni kustaafu tupigike tukose hela ya kununua masmartphones! bhaaaaaassss!

harusi usisubirie, vaa kiwalo chako shosti. na miili ya kiswahili hii kila siku unaongezeka itakubana kwenye hips afu uambiwe 'it is not age appropriate', uishie kudramatize more, lol
kiwalo nilishavaa zamani best, siwezagi kuwekeleza kiwalo kipya kwa kabati.
kwani sitaruhusiwa kuvaa kiwalo cha zamani?
 
Huyo mtu hajipendi, ama anataka akupe warning? Mie si alkaida bana.
Ila sasa sihi niko mpole, maneno hamna, natembea vindimu tu

Ha ha ha ha, drama queen! Paw ana kazi aisee, kwa mtindo huu, inabidi akitaka cheat aende kufanyia Syria kabisa.

Mie nitakuja na ubuyu wa embe kabisa ili nisisumbue watu.
Ahahhahahahahahahahahahahahhahaha wallahi waniua!
Asee hii inahitaji coffee smuggling!
Daaaaaamn!
 
Natumaini mko vizuri.

Nimekuwa nikiwaza kwa muda sasa; kwanini tusifanye saving ili mwakani tufanye a two weeks road trip kuzunguka East Africa? Tukianzia Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi then tunarudi kupitia Kigoma. Ninaamini by that time barabara ya Kigoma to Mamyoni itakuwa almost complete.

In every country tutembelee atleast exciting site au tourist attraction moja. I am sure in all 5 coutries kutakuwa na JF members wanaoweza kutuonesha vijiwe vya kula bata.

What do you think ladies? Lets go wild......

hivi mnaenda member mnaojuana au yeyote ili mradi mwanamke?? nauliza tu kwa sababu kukaa na stranger kwenye lift kutoka ghorofa ya kwanza hadi ya 20 issue je kwenye gari kutoka dar hadi kigali???
 
ahahaha umenichekesha. kweli kuna watu wako fussy. hadi lift hutaki kushare kwa dakika 1?🙂🙂
hivi mnaenda member mnaojuana au yeyote ili mradi mwanamke?? nauliza tu kwa sababu kukaa na stranger kwenye lift kutoka ghorofa ya kwanza hadi ya 20 issue je kwenye gari kutoka dar hadi kigali???
 
hapa ipo maneno. hiviiii ubuyu wa embe ukoje lakini? anasema hauna mbegu!

Uuuuuuuupo mtamu balaa! (Nikienda zenji ntakuletea)
Embe mbichi zinacharangwa af zinachemshwa kweny rojo ya ubuyu unga unawekwa hiliki pia !
Dah!
Babu issa anatesa wengi kipindi kama hiki!
Ila ofu olu ze pipo Kongosho anahofia kusumbua watu kwa kukosa ubuyu wa eeeembe?
 
Last edited by a moderator:
He he he he, utanijazia watu bure, ngoja nikimbie na makirikiri yangu.

King' haujui huo

Back
Top Bottom