Kwa wamama/wanawake wa MMU na JF

Kwa wamama/wanawake wa MMU na JF

Nilikuona ulivokuwa unamshangilia Diamond kuliko unavyonishangilia mimi boifrend wako. Nikakata tamaa kuja kukusalimia.

hahahaa we kibabu muongo mie nlikua nawashangilia weusiiii! sket diamond hapana aisee!mi siyo fan wakee kabisa! bora nkushangilie ww asprin
 
hahahaha babu jana nilikesha na kill awards leo nimeshinda nalala tu lol enheeee kwanza nihakikishie mkwanja wa trip upo

Unaulizia maji baharini? sema chochote utakacho ntakutimizia mama mama wa binti yangu.
 
hahahaa we kibabu muongo mie nlikua nawashangilia weusiiii! sket diamond hapana aisee!mi siyo fan wakee kabisa! bora nkushangilie ww asprin

Anza kwa vitendo PM nione kama uko siriaz.
 
Mimi nadhani ingekuwa vyema tusave twende tu Rwanda na Burundi..!!!!:baby::loco::A S 13::smile-big:

Tuanzie Rwanda. Ni vizuri tukawatembelee ambassadors of Christ choir. Nataka nimmilikí binti mmoja pale.
 
Wazo zuri sana bestito naunga mkono hoja
na yatakayojiri nifahamisheni kwani niko mstari wa mbele
natumaini mko vizuri.
Nimekuwa nikiwaza kwa muda sasa; kwanini tusifanye saving ili mwakani tufanye a two weeks road trip kuzunguka east africa? Tukianzia kenya, uganda, rwanda, burundi then tunarudi kupitia kigoma. Ninaamini by that time barabara ya kigoma to mamyoni itakuwa almost complete.
In every country tutembelee atleast exciting site au tourist attraction moja. I am sure in all 5 coutries kutakuwa na jf members wanaoweza kutuonesha vijiwe vya kula bata.

What do you think ladies? Lets go wild......
 
Unajua nimekutafuta mchana kutwa?

kama Yosef na Maria wakimtafuta yesu hadi walipomkuta hekaluni?
Kaunga.....wazo zuri, halafu hapa naombaw adada wachangie zaidi coz uzi ni wao huu sie tunatia kachumbari tu
 
Last edited by a moderator:
Natumaini mko vizuri.
Nimekuwa nikiwaza kwa muda sasa; kwanini tusifanye saving ili mwakani tufanye a two weeks road trip kuzunguka East Africa? Tukianzia Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi then tunarudi kupitia Kigoma. Ninaamini by that time barabara ya Kigoma to Mamyoni itakuwa almost complete.
In every country tutembelee atleast exciting site au tourist attraction moja. I am sure in all 5 coutries kutakuwa na JF members wanaoweza kutuonesha vijiwe vya kula bata.

What do you think ladies? Lets go wild......
Hiyo haitanogo,Kaunga ungesema wana MMU wote ili nami niwasindikize.
 
Back
Top Bottom