Kwa wamama/wanawake wa MMU na JF

Kwa wamama/wanawake wa MMU na JF

Naam, mambo ya kukutana sijui kwenye ma party au sijui ma nini nini huko wengine wala hatuyahusudishi.

Mi huwa nawaambia ntakuja halafu sitokei. Sipendi kabisa kukutana kutana na mijitu ya humu. Wale watu wawili au watatu niliokutana nao kutoka humu huwa nawahesabu kuwa wana bahati sana maana nipo kama yule mnyama (nimemsahau jina) ambaye kuonekana kwake ni nadra.

Ila nahisi nishakutana na watu kibao huko kwenye mishemishe bila ya mimi kuwajua na wao kunijua.

Am I antisocial?

Umeonaaaa eee majunguuu akhuu kukutana na wajuajiii wengine hata bajaji hatuna hahhhhahhhaha lol yaan mi tutakutanaga mbingunii tuuuuu basiiiiii
 
Nafikiri wazo la kublend na business ni jema kuna mdau hapo juu aligusia. Hivyo nafikiri itakuwa vizuri zaidi tukijaribu kuexplore business opportunities pia ilmradi masiku yasiwe mengii sana, itachosha.

Miss you a lot dear, l thought of u guys when thinking about this.
miss you too my dearest!!
 
King'asti nakuelewa mpenzi ndio maana nikasema wamama nikiwa naamini wako matured na wanajua wanataka nini maishani. Tena ulikuwepo kwenye mind, na honestly nilijua ni wale wasio enda kwenye zile parties au wanaosutana, anyways natumaini siku moja tunaweza tour hata 4 tu.
 
Last edited by a moderator:

ukipata muda fanya mchanganuo wachumi tujopange!
 
Last edited by a moderator:
Kumbe ndio maana unanikimbia.deile? Napanga jinsi ya kukukidnap

call it being negative, lakini kama mlikutana kwenye jf party na wanaume wakiwemo, mkarudi na drama zenu hapa za sijui nani kamsema nani nini. na kusambaziana picha mlizopiga huko kwenye party zikiwa na utambulisho lukuki kuwa huyu ni fulani na alikuja na viatu kama ndala. seuze mkikutana wenyewe kwa wenyewe, si mtarekodiana mkiwa mnaoga?

my take, kuna baadhi ya wadada wa jf naweza kufanya nao hii trip kwa sababu tumeshazoeana na nimewaona bhange kama mimi. we are easy going, hakuna 'fussy' life na kununiana nuniana kama watoto. kuweni waangalifu na mhakikishe mnacop huko muendako. nasubiria trip report iliyo positive labda itanishawishi na mie kuja kuwaunga mkono kwenye trip yenu ya sub-saharan africa kama sio uarabuni
 
Msinitenge enyi wanadamu.

King'asti nakuelewa mpenzi ndio maana nikasema wamama nikiwa naamini wako matured na wanajua wanataka nini maishani. Tena ulikuwepo kwenye mind, na honestly nilijua ni wale wasio enda kwenye zile parties au wanaosutana, anyways natumaini siku moja tunaweza tour hata 4 tu.
 
Last edited by a moderator:
call it being negative, lakini kama mlikutana kwenye jf party na wanaume wakiwemo, mkarudi na drama zenu hapa za sijui nani kamsema nani nini. na kusambaziana picha mlizopiga huko kwenye party zikiwa na utambulisho lukuki kuwa huyu ni fulani na alikuja na viatu kama ndala. seuze mkikutana wenyewe kwa wenyewe, si mtarekodiana mkiwa mnaoga?

my take, kuna baadhi ya wadada wa jf naweza kufanya nao hii trip kwa sababu tumeshazoeana na nimewaona bhange kama mimi. we are easy going, hakuna 'fussy' life na kununiana nuniana kama watoto. kuweni waangalifu na mhakikishe mnacop huko muendako. nasubiria trip report iliyo positive labda itanishawishi na mie kuja kuwaunga mkono kwenye trip yenu ya sub-saharan africa kama sio uarabuni

Ukweli mzuri huu!

Kuna picha ya cousin yangu niliiona mahali nikasema duh! Nafikiri Kaunga tafuta watu ambao kwa mtazamo wa haraka mnaweza ku-cop, wawe matured enough. Najaribu kufikiria kwa muda mrefu zimekuwa zikiletwa taarifa hapa za 'Arusha' wing na tour zao lakini sijawahi kuona upuuzi mdogomdogo ukiletwa humu. Sijui Dar 'wamerogwa'!!

Lakini mwisho wa siku 'Tour njema', usisahau kuniletea miraa ukitoka Nairobi!
 
Last edited by a moderator:
yaani humu JF wapo masuper star wakina Lulu,Wema Sepetu ,Anti Ezekieli etc. ndo hao hawataki kuonekana onekana na hiyo tour hawataenda ng'oooo.....!
 
You and your dirty minds. Be positive just this once, kwamba wamama wamejipa tour ili kusahau stress za kazi, nyumba na familia. Ni mara moja kwa life time na itarejuvenate mapenzi ya njia kuu. What if we learn about katerero enroute (of course kwa story tu na sio practise).

You just spoiled the soup Kaunga...!!
 
Last edited by a moderator:
Ukweli mzuri huu!

Kuna picha ya cousin yangu niliiona mahali nikasema duh! Nafikiri Kaunga tafuta watu ambao kwa mtazamo wa haraka mnaweza ku-cop, wawe matured enough. Najaribu kufikiria kwa muda mrefu zimekuwa zikiletwa taarifa hapa za 'Arusha' wing na tour zao lakini sijawahi kuona upuuzi mdogomdogo ukiletwa humu. Sijui Dar 'wamerogwa'!!

Lakini mwisho wa siku 'Tour njema', usisahau kuniletea miraa ukitoka Nairobi!

Mbona umesahau na Tanga Wing?

May be Dar wajasiriamali ni wengi sana...lol!!
 
Back
Top Bottom