King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,985
lol, sijui watu wa dar maisha magumu sana, kupigika hadi kukosa cha kuongea hehehe😛eep:.
uko sawa, mie nawajua watu wa arusha baadhi at a personal level, na wakitoka kwenye meetings zao hakuna drama. ila wa dar kabla party haijaisha wameshaanza kunanga party sijui ilikuwaje (unashindwa kuapreshiate kuwa kuna mtu amejitolea muda wake kuandaa na wewe ukaja tu kujienyoy!). ni maneno kuanzia mavazi, shape za watu, sijui nini aaagh! mbaya kuliko zote ni kuanzisha threads!

Ukweli mzuri huu!
Kuna picha ya cousin yangu niliiona mahali nikasema duh! Nafikiri Kaunga tafuta watu ambao kwa mtazamo wa haraka mnaweza ku-cop, wawe matured enough. Najaribu kufikiria kwa muda mrefu zimekuwa zikiletwa taarifa hapa za 'Arusha' wing na tour zao lakini sijawahi kuona upuuzi mdogomdogo ukiletwa humu. Sijui Dar 'wamerogwa'!!
Lakini mwisho wa siku 'Tour njema', usisahau kuniletea miraa ukitoka Nairobi!