Kwa wamama/wanawake wa MMU na JF

Kwa wamama/wanawake wa MMU na JF

Kaunga this is a very good idea, but lazima tuwe na goals je is it for pleasure only or we can blend purposes like we are going for pleasure bu also we shld look at business opportunities, employment as well as investment?

to me, kuwa na malengo zaid ya kutembea sounds good manake kwanza ita vuta hisia za wengi, pili itakuwa na returns after a certain period of time. so itapunguza yale machungu hasa kwa wale wachumi.

i stand to be corrected.

Nafikiri wazo la kublend na business ni jema kuna mdau hapo juu aligusia. Hivyo nafikiri itakuwa vizuri zaidi tukijaribu kuexplore business opportunities pia ilmradi masiku yasiwe mengii sana, itachosha.

Miss you a lot dear, l thought of u guys when thinking about this.
 
Last edited by a moderator:
I doubt kama kuna mama mwanandoa atayepewa ruksa ya namna hiyo na mume...

Sijui!!!

I tell you kuna hubbies ambao ni very loving na understanding kiasi kwamba watafacilitate hiyo trip. Mine included.
 
Mjipangeeeeeeeee iiila muwe tayari kubabysit!
Staki maswali!

Hahahah my swee, usijali tutapeana zamu kubabysit. Nilikuwazia nikasema, shosti tutamuacha safari hiii kwi kwi kwi kwi kwi.

Tandiboy wetu atakuwa ze bosi
Cc The Boss
 
Last edited by a moderator:
Haya hiyo safar lini mashosti nttafute ticket mapemaa nije nije ntembee akah nsije kufa ata sijafaida astaghfirullah

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Uzuri wa hii project muwe wachache, kama watano hivi, halafu muanzie Tanzania kama pilot study

Ikienda vizuri, mnajua mjipangaje kwa next time na muende wapi.

Inawezekana Kaunga

Five is a good number fitting in one car, ila tukiwa 8 hivi na magari 2 bado si mbaya.

Trip ya nchini siioni kama exciting kama ya EA. Asante kwa support ya mchango Bulldog.
 
Last edited by a moderator:
Kuna wanaume wengine wana mioyo ya pekee mpwa. na wengine hawana kauli juu ya wake zao.

Lakini kwa jinsi navyowajua wana JF, naogopa wataunga mkono wengi lakini mwisho wa siku Kaunga atajikuta yuko peke yake. Hapa nazungumzia kauzoefu kangu kadogo hapa JF na watu wake, especially wanawake..

Sidhani kama ni swala la kutokuwa na sauti au kuwa nayo. Ni uelewa na upendo unaoambatana na trust ambayo couple wanakuwa nayo. Mfano mimi nahisi wewe ni understanding sasa kuhusu upendo au kumuamini mrs siwezi sema.

You are right, JF sio ya kuiamini 100% lkn naamini hata 3 au better 5 wanaweza patikana. Ngoma iko kwenye kusave, maana utamaduni wetu haukutufundisha saving for pleasure, lkn l remain optimistic.
 
Last edited by a moderator:
Naunga mkono hoja kwani itasaidia kujifunza mambo mengi na pia kutalii.

Umeona my dear, yaani it has been my dream for ages. Nilienda Bujumbura na friends nikatamani kufika kigali pia lkn it was just for weekend so sikuweza. Lkn nimetengeneza marafiki ila kwa biashara sikuona sana. Nilipenda chakula hasa misalad yao ya vitunguu vyeupe. Sasa imagine from Nairobi to Kampala to Kigali Bujumbura and back to Kigoma.

Mwaka mwingine we do a south trip. Unakuwa na kitu cha kusimulia wajukuu. LOL
 
Five is a good number fitting in one car, ila tukiwa 8 hivi na magari 2 bado si mbaya.

Trip ya nchini siioni kama exciting kama ya EA. Asante kwa support ya mchango Bulldog.

Sio kwa nia mbaya, ila kwa kuanzia sio mbaya.

Anyways, all the best
 
Hahahah my swee, usijali tutapeana zamu kubabysit. Nilikuwazia nikasema, shosti tutamuacha safari hiii kwi kwi kwi kwi kwi.

Tandiboy wetu atakuwa ze bosi
Cc The Boss

Ahahhahahaha haaachwi mutu
Hasa kama taniboyi ni ze big bosi himself.
Wee ,na ye tutamuweka kweny rooster ya kuchange diapers!
Si ndo ushirikishwaji jinsia huo au?
 
Last edited by a moderator:
Kwa mtaji wa wandani kupeana ruhusa ili kuchepuka vizuri, ngwengwe haiishi ng'o.
 
Umeona my dear, yaani it has been my dream for ages. Nilienda Bujumbura na friends nikatamani kufika kigali pia lkn it was just for weekend so sikuweza. Lkn nimetengeneza marafiki ila kwa biashara sikuona sana. Nilipenda chakula hasa misalad yao ya vitunguu vyeupe. Sasa imagine from Nairobi to Kampala to Kigali Bujumbura and back to Kigoma.

Mwaka mwingine we do a south trip. Unakuwa na kitu cha kusimulia wajukuu. LOL
Itakua nzuri my dear Mungu afanikishe hili na watu wengi wajitokeze wenye utayari wa kufanya haya. Mimi nawaombeeni tu na mkiwa tayari please let me know ili niwakumbuke ktk sala.
 
I tell you kuna hubbies ambao ni very loving na understanding kiasi kwamba watafacilitate hiyo trip. Mine included.

Kutokutoa ruhusa haimaanishi kuwa hubbies wa kaliba hiyo sio loving na waelewa...

Kujali kukizidi hupelekea wivu hence ndio kuanza kunyimana ruhusa kama hizi...
 
Back
Top Bottom