Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
mhhhhhhh Kaunga kuna wengine ingawa bado mabinti lakini kichwani wanawaza kama watu matured so msitutenge tunaoanza na majina ya missKing'asti nakuelewa mpenzi ndio maana nikasema wamama nikiwa naamini wako matured na wanajua wanataka nini maishani. Tena ulikuwepo kwenye mind, na honestly nilijua ni wale wasio enda kwenye zile parties au wanaosutana, anyways natumaini siku moja tunaweza tour hata 4 tu.
Last edited by a moderator: