SirChief
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 3,304
- 3,380
una minyoo eeh?..soma vizur acha papara
kwanini mkuu
Lubumbashi nilishaishi.Utaenda kwa ndege au barabara kupitia Kasumbalesa?Ni PM nikupe ya Lubumbashi ndugu yangu mengine si ya kuandika hapa.
...ak47manake nini
Bamutu ba Mombasa karibu hapa Lubumbashi eeh!! Kwa moyo moja banacongo wote penda karibisha sawa wewe ....mutu yoyote penda kuja huku karibishwa sana
Ni mimi papaa Mwamba mutu ya nzambe
Kwann usipande meli.unapandia pale kigoma had goma nauli 18000tsh ni rahis mno na unabeba vitu ving vya kibiashara
Kununua kipoozeo cha maana ni ghali sana 200 USD mpaka asb afadhali kigali 100 USD unapiga ngozi safi
Kakamate fursa mkuu. Ngoja nikuitie mdau aliepo kule... msumeno ukuje pande hizi kuna chalii anatakakuja pande hizo.
Fursa gani unayomwambia akakamate wakati anaulizia malaya na machangudoa!! Mada nyingine ndio maana hatushauri zimekaa kizinzi tu
kinshansa lazima ukwee pipajamani kwa yeyote aliyefika kati ya sehemu hizo mbili lubumbashi na kinshasa tujuzane uzoefu nategemea kwenda huku august kuspend kwa wiki mbili,nia na madhumuni kujifunza na kuongeza upeo lakin kubwa zaidi kuangalia nafasi za kibiashara,nijuzeni gharama za malazi, chakula,malaya vp wanapatikana kwa urahisi ? Na vingine vyote ambavyo kama mgeni napaswa kuvijua
Fursa gani unayomwambia akakamate wakati anaulizia malaya na machangudoa!! Mada nyingine ndio maana hatushauri zimekaa kizinzi tu
manake nini
tatizo la wabongo hatuko serious ktk masuala ya msingi,Mombasa sihami bali nataka kujitanua kibiashara zaidi na zaidi.ni utaratibu niliojiwekea kila baada ya miezi mitatu nasafiri mji ambao sijawahi kufika ili nijifunze mambo mengi zaidi. kwa mfano after kongo napenda kwenda madagascar