MLUGURU
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 3,005
- 3,896
kama unaenda na usafiri binafsi jihadhari ukishaingia lubumbashi kwenye sehemu ya mataa wanaita T kuna machokoraa ni wezi kinyama,pia hata vibibi kwa barabara za mtaani wanashusha mizigo kutoka kwenye gari,kikubwa ulinzi wa mali zako upo juu yako mwenyewe usitegemee polisi kwa sana kwani hata wao ni mpaka uwape makuta ndo mnaelewana