Kwa waliofika Lubumbashi na Kinshasa

Kwa waliofika Lubumbashi na Kinshasa

Nimesoma Uzi vizuri na umenipa mwanga ila hapa pameniogopesha,sasa ilikukabiliana na hili mliokuwa huko mnatumia mbinu gani kukwepa tabia hii yao ya utapeli na usaliti kwa sisi wafanyabiashara tunaoitaji kwenda huko?
im utaweza epuka anasa.fuata kilichokupeleka.ama nenda kwe starehe na watu mnaofahamiana.usimdandie mwanamke kihovyo hovyo.wakijua ww mgeni na mkakubaliana kuzini,wanatabia ya kufanya fujo na huwa wanamchongo na askari,utashangaa mzee mtu anabadirika na kuanza kulia kwa kelele na kudai umemwingilia kinyume na maumbile mara anataja mliahidiana hela kuuubwa na ukizingatia kule ukahaba ni biashara inayojulikana km halali vile.mzee utaitiwa ba sorder na watakuja kukutandika na kukupiga faini kubwa sana na yamkini ukadhurumika.
afu zingatia sana chenji kwe mafranga yao.
 
Shukrani mkuu
 
Khasante nimekuelewa
 
Hao ni wakuwaepuka kama ukoma
 
LUBUMBASH GUEST YA CHINI KABISA KAMA HAPA BONGO ZILE ZA BUKU 5 KULE NI USD 30! SAHANI YA UGALI KIBONGO UNAPATA KWA BUKU JERO KULE NI USD 6.
 
Kwa sasa nipo lubumbashi mji wa madini ya copper unataka kufanya biashara gani?
 
Ila ukija ujiaendae kushinda njaa maana chakula huku tabu labda ujipikie mwenyewe na ghara za kuishi ni juu sana kuliko maelezo.
 
Back
Top Bottom