Kwa waliofika Lubumbashi na Kinshasa

Kwa waliofika Lubumbashi na Kinshasa

Sihami bongo hata iweje aisee nlienda lubumbashi na kigali ni pa ajabu mno

ulitaka tujue na wewe umefika ? kwani ulishikiwa bunduki ili uhame? mbona bakhresa yupo kule na anazidi kupiga hela wala hajatuletea hadithi zako? kama wewe dar ndo kila kitu kwako basi piga kimya manake inaonekana bado mwepesi sana wewe
 
vp wali kuku naweza kupata,au nyama choma za kibongobongo,nitatumia usafiri wa basi ,gharama za ushuru wa barabara zikoje ? wanawake wao hawaliki kwanini ?

Kumbe ww ni falcno una msaada wa kutosha,ila nakumbuka hizo basi kwa lubumbashi zina pack pale brasimba na pale kuna wabongo wengi sana pia pale kuna taqwa zipo zina kwenda hadi korwezi.hivyo mkuu ni msaada tosha.njo vile pehrtee!
 
Mkuu kwa kifupi maisha pale ni aghali in comparison na bongo
Lodge nzuri ni kuanzia $100 na kuendelea
Chakula ni expensive yaani Chipsi na sausage moja tu dola kama 11 hivi
Kama unakamata vikali labda ile michupa yao mikubwa ya beer kama maji ya uhai lakini ukigusa sijui Heineken ni kama dola 4.5 hivi
Rushwa ni kuanzia entry airport utadaiwa dola 50

Uwe na chenji za dola moja moja kabisaa vinginevyo watakufilisi maana ukimpa rushwa huyu na yule anakusubiri
 
mkuu falcon ni jina sehemu hapa mombasa,ndio sehemu ya kwanza kufikia nilipokuja hapa kenya
 
Mkuu kwa kifupi maisha pale ni aghali in comparison na bongo
Lodge nzuri ni kuanzia $100 na kuendelea
Chakula ni expensive yaani Chipsi na sausage moja tu dola kama 11 hivi
Kama unakamata vikali labda ile michupa yao mikubwa ya beer kama maji ya uhai lakini ukigusa sijui Heineken ni kama dola 4.5 hivi
Rushwa ni kuanzia entry airport utadaiwa dola 50

Uwe na chenji za dola moja moja kabisaa vinginevyo watakufilisi maana ukimpa rushwa huyu na yule anakusubiri

nilichogundua vyakula ni issue,ni bora kuliangalia kwa makin sekta hii
 
kumbe hata ukifungua restaurant ya chips ukawafanyia kwa dola tano bado unapiga hela
 
hv kuna wali kweli kule lubumbashi? na imejengeka kama dar au mombasa

Upo ila mapishi tu
Nenda Dar Kinondoni nyuma ya MK bar kuna kipub chao wanapika mapishi ya Congo kinaitwa LUBUMBASHI ukajizoeze taste na variety zao
 
nilichogundua vyakula ni issue,ni bora kuliangalia kwa makin sekta hii

Mkuu ukienda kule ukituliza akili utapiga hela ila upande wa msosi kidogo ujipange kuna mgahawa nilienda nikachukua wali umepikwa kama ugali
 
Mkuu ukienda kule ukituliza akili utapiga hela ila upande wa msosi kidogo ujipange kuna mgahawa nilienda nikachukua wali umepikwa kama ugali

mkuu jambazi vp ulilipa sh ngapi kwa lodge uliyofikia,
 
tatizo la wabongo hatuko serious ktk masuala ya msingi,Mombasa sihami bali nataka kujitanua kibiashara zaidi na zaidi.ni utaratibu niliojiwekea kila baada ya miezi mitatu nasafiri mji ambao sijawahi kufika ili nijifunze mambo mengi zaidi. kwa mfano after kongo napenda kwenda madagascar

hawajakuelewa kama wamekuelewa ni sehemu moja tu.
 
Jamani kwa yeyote aliyefika kati ya sehemu hizo mbili Lubumbashi na Kinshasa tujuzane uzoefu nategemea kwenda huku august kuspend kwa wiki mbili,nia na madhumuni kujifunza na kuongeza upeo lakin kubwa zaidi kuangalia nafasi za kibiashara,nijuzeni gharama za malazi, chakula,malaya vp wanapatikana kwa urahisi ? na vingine vyote ambavyo kama mgeni napaswa kuvijua

Du hapa mdogo sina,, anyway Nimefika kinshasa au KIN kama wanavyojiita wao,, gjarama za maisha inatengemeana na eneo mfano Commune Gombe... pale kuna hotel ya kawaida sana inaitwa Belle Ville 1 hapo kulala ni 100$ kwa usiku na unapata chai y maharwe asubuhi na kimkate na kandizi kaliko konda.... ujue KIN sio kama dar kwa misosi usitengemee minyama choma yako ya Manzese... kwa yale mambo yenu vijana ( god forbit ) utagongwa dollar 50$ au hata 30$ na akili zikutuwe na uzinzi wako.... kule Matonge hotel mpaka za 50$ unapata... puplic transport zina category zingine bora gari za jela.. nyingine za luxury... wakinwa ni watu wa mbwebwe sana lakini kwa pesa hakuna wanashindwa sana na watu EAST DRC.( Goma, Lubumbashi, Bukavu, Kisangani na kwingeko) mji wa Kinshasa kwa sasa ni super sana barabara pana na kwa kweli wametushinda... hawana sky scrapers zetu na sisi hapo tumewachapa... walevi sana kila hatua kama 10 kijiwe cha pombe... kwa muzik pale CHEZ NTENBA, gombe safi ila ukiwa na mshipa wa Ngiri kazi kwako... (mimi ustadh) opps msosi nikama 10$ chips na kuku,, na huko uswekeni ni chini ya hapo kidogo

Njoo Goma, hapa tatizo ni Mjomba wa URUSI nje nje lakini pako poa misosi kwa wingi na fursa za biashara kibao ila ujambawazi balaa.... Lubumbashi sijafika nimefika BUKAVU, UVIRA, KINSHASA, BENI, na Hapa Goma ninapoishi... unaswalli zaidi....
 
Hotel nzuri kinshansa inaitw memling jiandae kula nyani
Mzuri chips kavu
 
Back
Top Bottom