Jeep wrangler
JF-Expert Member
- Jan 7, 2024
- 1,778
- 3,313
WowKibonge nyanya
WowKibonge nyanya
Huyo sio mwembamba Bali amekonda🇨🇳 Kwa Wachina, Urembo wa Mwanamke ni Wembamba Wake...
Katika jamii ya Kichina, wembamba ni ishara ya uzuri wa mwanamke 👩🦰✨
Huyu hapa ni mmoja wa wanawake wanaochukuliwa kuwa mrembo zaidi nchini China — anasifika kwa sura yake ya kupendeza 💫 na umbo lake linaloendana na vigezo vya urembo wa huko.
👗💃 Kwao, huu ndio muonekano wa mwanamke "perfect"!
Je, wewe unakubaliana na mtazamo huu wa Kichina kuhusu urembo? 🧐
CC: Shimba ya buyenzeView attachment 3403812
😂😂😂😂Kuna wembamba, halafu kuna anorexia.
😂😂😂😂😂Huku Goba huyo tungesha sema amewaka...🤣
nyama nyama za allah shekhewachina wanamfelisha shee Kipoozeo.
Wakiwa Saiti Huko Kwenye MaujenziNi kweli wapo sahihi ila wanachepuka na akina Hidaya au Rose vibonge wa bongo