Kwa wachina wembamba wa mwanamke ndio urembo

Kwa wachina wembamba wa mwanamke ndio urembo

🇨🇳 Kwa Wachina, Urembo wa Mwanamke ni Wembamba Wake...

Katika jamii ya Kichina, wembamba ni ishara ya uzuri wa mwanamke 👩‍🦰✨
Huyu hapa ni mmoja wa wanawake wanaochukuliwa kuwa mrembo zaidi nchini China — anasifika kwa sura yake ya kupendeza 💫 na umbo lake linaloendana na vigezo vya urembo wa huko.

👗💃 Kwao, huu ndio muonekano wa mwanamke "perfect"!
Je, wewe unakubaliana na mtazamo huu wa Kichina kuhusu urembo? 🧐

CC: Shimba ya buyenzeView attachment 3403812

Huu si wembamba, bali ni kukonda
 
e886af34-55a0-4de2-9d8f-f41ba53d43b1.jpeg
 
Back
Top Bottom