babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,122
- 27,226
Hilo daraja lina zaidi ya miaka arobaini,Lilibomoka halikubumoka? Hio ndio main highway?? 😁
Hapo Kenya daraja linajengwa halafu linabomoka baada ya kuzinduliwa.
Hilo daraja lina zaidi ya miaka arobaini,Lilibomoka halikubumoka? Hio ndio main highway?? 😁
Lilibomoka halikubumoka?Hilo daraja lina zaidi ya miaka arobaini,
Hapo Kenya daraja linajengwa halafu linabomoka baada ya kuzinduliwa.
Wewe unaonaje.Lilibomoka halikubumoka?
Hilo daraja lina zaidi ya miaka arobaini,
Hapo Kenya daraja linajengwa halafu linabomoka baada ya kuzinduliwa.
Lilibomoka halikubumoka?
Haha!🤣🤣 Tz vs Ke raha sana. Hii vita haitokaa ipate mshindi...Wewe unaonaje.
Angalia hii ya Mombasa basi kamahutaki ya Nairobitatizo nyie kila kitu mnaonyesha Nairobi tuu,miji mingine mmh.Hongereni basi kwa hizo barabara kama ndio zinareflect maendeleo ya mwananchi wa kawaida. Huku Tz barabara za miji mingi ni mkeka tuu lakini wametulia tuu kelele nyingi mapoyoyo tuu ndegelec
Angalia hii ya Mombasa basi kamahutaki ya Nairobi
Lilibomoka 😂😂Wewe unaonaje.
Ni tabia yako kujitia vidole na ndio maana unafahamu.Sawa basi kajitieni vidole.
Barabara za Dar hazifikii za Mombasa na ushahidi upo.Ni tabia yako kujitia vidole na ndio maana unafahamu.
Mshindi atapatikana tu wala usiwe na harakaHaha! Tz vs Ke raha sana. Hii vita haitokaa ipate mshindi...
Mombasa inatuzidi bandari tuBarabara za Dar hazifikii za Mombasa na ushahidi upo.
Hata nilikua niko karibu kumletea pia na ya Kisumu kama hajatoshekaHalafu tumletee ya Kisumu kama hataki ya Mombasa
Barabara pia na usisahau mji wa Mombasa unliatoa jasho jiji lenu la Dar es Sluum.
Kingwedu umeuaaa! Sijui utatatoa video yako nyingine lini tukuone na vibwanga vyako 'balabalani' ukiwa umejipaka masizi usoni.Uwezi kuifananisha bongo na kenya kwa upande wa balanala za lami.kifupi ni jumla ya ulefu wa balabala za lami ziliizopo tanzania ukiziamishia kenya basi kenya nzima kutakuwa hakuna balabala za vumbi.madeleva mnaweza kuwa mashahidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Fala wewe, kuna mtu kakuzuia kuleta picha hadi uniombe ushauri? Lazy Kunyan!Mimi naleta ya Dar es Sluum
Fala wewe, kuna mtu kakuzuia kuleta picha hadi uniombe ushauri? Lazu Kunyan!
Hakuna jipya hapo. Sasa kakojoe ulale. Pathetic!
Kweli Bro, dar haina lipya.Hakuna jipya hapo. Sasa kakojoe ulale. Pathetic!