Kwa Wabongo ambao hawajawahi kuona Thika Road, tazameni hii video. Kisha mkome kupinga kuwa Kenya ina miundombinu nzuri kushinda Tanzania

Labda Ile inayotoka airport zilizojengwa kwa PPP
Endeleeni tu kuponda na kukariri porojo zenu za kawaida. Majirani zetu Uganda pia wanaendelea kusonga. Hapa ni kwa M7, Kampala- Entebbe Expressway.
A-section-of-the-Kampala-Entebbe-expressway.jpg
 
Sasa kama kilometa zaidi ya 10 hakuna mwingiliano wa barabara lazima kuwe hivyo. Tanzania kama unataka kwenda point A kuna barabara mbadala zaidi ya 2.
 
Angalau wewe umekubali kuwa mko nyuma yetu
LOL nyuma wapi?
Barabara za Dar zipo hivyo tena bora zaidi ya hiyo, ukiondoa BRT katikati, barabara zetu zinakua pana na zenye lanes nyingi zaidi ya hiyo na ndio maana hazina foleni za kipumbavu kama hicho kipande chenu cha kilometers 10
 
LOL nyuma wapi?
Barabara za Dar zipo hivyo tena bora zaidi, ukiondoa BRT katikati, barabara zetu zinakua pana na zenye lanes nyingi zaidi na ndio maana hazina foleni za kipumbavu kama hicho kipande chenu cha kilometers 10
Thika Highway inatoka Nairobi jijini hadi Thika Town, hiyo ni distance ya kilomita 50.
Sasa kama kilometa zaidi ya 10 hakuna mwingiliano wa barabara lazima kuwe hivyo. Tanzania kama unataka kwenda point A kuna barabara mbadala zaidi ya 2.
Kwenye hiyo highway ya Thika kuna Bypass 3 ambazo zinaunganisha barabara zingine moja kwa moja kwa Thika Highway, bila kupitia jijini Nairobi. Kuna Northern Bypass inaunganisha highway ya Thika na Limuru. Eastern Bypass, Thika na Mombasa Highway. Western Bypass- Ruiru. Kama hivi.
images
Naton Jr tuoneshe vitu kama hivi.
 
Thika Highway inatoka Nairobi jijini hadi Thika Town, hiyo ni distance ya kilomita 50. Kwenye hiyo highway ya Thika kuna Bypass 3 ambazo zinaunganisha barabara zingine moja kwa moja kwa Thika Highway, bila kupitia jijini Nairobi. Kuna Northern Bypass inaunganisha highway ya Thika na Limuru. Eastern Bypass, Thika na Mombasa Highway. Western Bypass- Ruiru. Kama hivi.
images
Naton Jr tuoneshe vitu kama hivi.
lol hii barabara haipo Kenya,
images


Na sio barabara yote ni zaidi ya dual carriages, most of the road is dual carriage way.
 
LOL nyuma wapi?
Barabara za Dar zipo hivyo tena bora zaidi ya hiyo, ukiondoa BRT katikati, barabara zetu zinakua pana na zenye lanes nyingi zaidi ya hiyo na ndio maana hazina foleni za kipumbavu kama hicho kipande chenu cha kilometers 10.
TZ hamna barabara yoyote inayolingana na Thika road. Wewe unacheza na Thika road sana. Hata hio Ubungo flyover haitafikia upana na urefu wa Thika road. Thika road ni 40 km.
 
H
lol hii barabara haipo Kenya,
images


Na sio barabara yote ni zaidi ya dual carriages, most of the road is dual carriage way.
Hio ni uongo. Thika road imeundwa na service lanes on both sides of the road. Huwezi kukosa kuhesabu barabara yote kwa ujumla. Pia hata usipohesabu service lane, si kweli kwamba most of the road in dual carriage way.
 
Back
Top Bottom