Kwa Wabongo ambao hawajawahi kuona Thika Road, tazameni hii video. Kisha mkome kupinga kuwa Kenya ina miundombinu nzuri kushinda Tanzania

tatizo nyie kila kitu mnaonyesha Nairobi tuu,miji mingine mmh.Hongereni basi kwa hizo barabara kama ndio zinareflect maendeleo ya mwananchi wa kawaida. Huku Tz barabara za miji mingi ni mkeka tuu lakini wametulia tuu kelele nyingi mapoyoyo tuu ndegelec
Angalia hii ya Mombasa basi kamahutaki ya Nairobi

Uwezi kuifananisha bongo na kenya kwa upande wa balanala za lami.kifupi ni jumla ya ulefu wa balabala za lami ziliizopo tanzania ukiziamishia kenya basi kenya nzima kutakuwa hakuna balabala za vumbi.madeleva mnaweza kuwa mashahidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kingwedu umeuaaa! Sijui utatatoa video yako nyingine lini tukuone na vibwanga vyako 'balabalani' ukiwa umejipaka masizi usoni.
 
Fala wewe, kuna mtu kakuzuia kuleta picha hadi uniombe ushauri? Lazu Kunyan!
Screenshot_20200229-214328.png
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom