ni masikitiko makubwa sana kukutaarifu ya kwamba barabara sampuli hiyo,,, utaishia kuziona kwenye video tuu. vuka border angalau uje kufurahia maisha katika ulimwengu wa kwanza kabla hujakuwa marehemu.Nini kipya hapo
Video ya Thika road hii hapa, wakati wa usiku. Wabongo washamba, tazameni jinsi middle income inavyofanana.
Inaitwa lafudhi ya kibiashara, hakuna aibu yeyote kwa mwafrika kuwa na accent, ya kiafrika. Hata ze katarist naye pia anayo moja nzito. Ila najua hilo huwa halikutatizi wakati unachapa hotuba zake rewind kama mia.Sikiliza huyo anayeongea ana deep kikuyu accent! Kama aliye-anzisha hii clip!
Video ya Thika road hii hapa, wakati wa usiku. Wabongo washamba, tazameni jinsi middle income inavyofanana.
Ulimwengu wa kwanza Kibera?ni masikitiko makubwa sana kukutaarifu ya kwamba barabara sampuli hiyo,,, utaishia kuziona kwenye video tuu. vuka border angalau uje kufurahia maisha katika ulimwengu wa kwanza kabla hujakuwa marehemu.
Jombaa, hapo ni gatuzi la Kiambu, ukiwasili jijini Nairobi inakuwa ni juu kwa juu tu, hiyo mikeka unayoizungumzia ni ya wakati wa kuenda kusali.tatizo nyie kila kitu mnaonyesha Nairobi tuu,miji mingine mmh.Hongereni basi kwa hizo barabara kama ndio zinareflect maendeleo ya mwananchi wa kawaida. Huku Tz barabara za miji mingi ni mkeka tuu lakini wametulia tuu kelele nyingi mapoyoyo tuu ndegelec
Ukweli gani?Mbona Wabongo wanatoa utumbo kwenye huu uzi? Mbona hasira jamani? Kumbe ukweli unauma. Hahaha
What you dream of but don't have.What is so special with the clip?
Tanzania yote haina barabara Kama hio 😁