Hicho wanachokitafuta watakipata sasaImedhihirika bila chenga kupitia kesi ya ugaidi inayowakabili Mbowe na wenzake kuwa waendesha mashtaka wa serikali ni vilaza wa kuandaa mashtaka na kuandaa mashahidi wao. Aidha polisi wetu wameonekana ni weupe kichwani kuhusu sheria za jinai za nchi hii.
Hivyo ili kuficha aibu hii kwa serikali si ajabu katika bunge lijalo ukapelekwa muswada wa kuzuia watu kuingia mahakamani bila kibali na pia kuingia bila simu, notebook na kalamu!
Ni suala la muda tu!
Tayari kuna kanuni ya kuweka utulivu ndani ya mahakama na ofisi zote za umma. Kitendo cha kuacha simu yako wazi mahakama inaweza kukutia hatiani na ukaadhibiwa. Nina hakika watumiaji wengi huzingatia tahadhari hii muhimu!wakati tunalaumu aliyeweka zuio la kuingia na simu mahakamani pia tujitahidi kuelimishana matumizi sahihi ya simu, kuripoti taarifa sahihi kwa kutumia simu yako unapokiwa eneo husika, kuzima simu au kuweka silence tunapokuwa kwenye sensitive area na mambo sensitive, kuacha kutumia simu kueneza propaganda na kuleta shida kwenye jamii nk nk..
ni maoni yangu tu..
Nawe umowakati tunalaumu aliyeweka zuio la kuingia na simu mahakamani pia tujitahidi kuelimishana matumizi sahihi ya simu, kuripoti taarifa sahihi kwa kutumia simu yako unapokiwa eneo husika, kuzima simu au kuweka silence tunapokuwa kwenye sensitive area na mambo sensitive, kuacha kutumia simu kueneza propaganda na kuleta shida kwenye jamii nk nk..
ni maoni yangu tu..
Mbowe anaozea jera wewe na wame zako mpu jf mnapiga kelele tuNchi ni ya kijingaaa sana
Yaan hawa CCM akili zao ovyo sanaa
Unakuta wanatunga Visheria kisa Tundu Lissu. Au Mbowe..
Unajiuliza, hawa watu wanafikiria kwa makalio au Ubongo??
Na siyo jambazi Magufuli anayeozea kaburini Chato!Mbowe anaozea jera wewe na wame zako mpu jf mnapiga kelele tu
USSR
Tumempata dikteta wa kike.Imedhihirika bila chenga kupitia kesi ya ugaidi inayowakabili Mbowe na wenzake kuwa waendesha mashtaka wa Serikali ni vilaza wa kuandaa mashtaka na kuandaa mashahidi wao. Aidha Polisi wetu wameonekana ni weupe kichwani kuhusu sheria za jinai za nchi hii.
Hivyo ili kuficha aibu hii kwa Serikali si ajabu katika Bunge lijalo ukapelekwa Muswada wa kuzuia watu kuingia Mahakamani bila kibali na pia kuingia bila simu, notebook na kalamu.
Ni suala la muda tu!
Polisi Handeni wanatuhumiwa kubaka barmaids!WanaCCM na polisi wao ni mahiri tu kwenye maswala ya ngono.
Wanafikiri Kingai KingaiNchi ni ya kijingaaa sana
Yaan hawa CCM akili zao ovyo sanaa
Unakuta wanatunga Visheria kisa Tundu Lissu. Au Mbowe..
Unajiuliza, hawa watu wanafikiria kwa makalio au Ubongo??
Sheria yoyote inayokwenda kinyume na haki za binadamu ni batili hata ikitungwa na bunge mahakama hiyohiyo itaitamka ni batili.Imedhihirika bila chenga kupitia kesi ya ugaidi inayowakabili Mbowe na wenzake kuwa waendesha mashtaka wa Serikali ni vilaza wa kuandaa mashtaka na kuandaa mashahidi wao. Aidha Polisi wetu wameonekana ni weupe kichwani kuhusu sheria za jinai za nchi hii.
Hivyo ili kuficha aibu hii kwa Serikali si ajabu katika Bunge lijalo ukapelekwa Muswada wa kuzuia watu kuingia Mahakamani bila kibali na pia kuingia bila simu, notebook na kalamu.
Ni suala la muda tu!
πππ Kingayi kaliwa kichwa kawa mdogo kuliko piriton!