....................kumbe una viatu,hongera sana kwa kuwa na viatu,................................karibu sana,................je una soksi au huna.................,viatu vyako vya aina gani,raba mtoni,mchuchumio,raizoni,skuna,snika,stileto,mokasin,travolta au buti........................? Tabu ya kuvaa viatu ni fangasi.........je? wewe una fangasi,.....................,lakini raha ya viatu ni usalama wa miguu yako,................mbigiri na miba itakoma,ila kuwa mwangalifu sana usije kanyaga wenzio,......................,karibu tena,karibu sana na hata hivyo viatu njoo navyo,ila vua mlangoni,..............kwa heshima,...............tahadhari,usikute soksi zako zimetoboka na zinanuka,nakushauri uzifue kwanza,..................na kushona hayo matobo...........