Kwa unyenyekevu mkubwa naomba connection ya kazi

Kilimi

Member
Jan 11, 2023
77
108
Wazee kwa unyenyekevu mkubwa naomba connection ya kazi Nina familia hapa nawaza mpaka bas naomba atakama sio kazi ambayo nimesomea naomba kazi yoyote halali ambayo itanitoa kwenye mapito haya wakati nasubir mungu afanye wepesi na mungu atakubariki ....(nipo kwenye kipindi kigumu)..

Note....ukikosa kazi(pesa) marafiki wanakukimbia ila ninaimani humu JF kuna marafiki Bora sana ambao watanishika mkopo, hapa nilipo marafiki ZANGU wote wamenikimbia natambua sana humu kuna watu wanajua namaanisha nin nisaidie dada ZANGU kaka ZANGU ambao mpo humu nipate kuokoa familia ...

Staki kurudisha mpira kwa kipa ndio mana nimekuja humu namba yang hii 0693392242
 
wazee kwa unyenyekevu mkubwa naomba connection ya kazi Nina familia hapa nawaza mpaka bas naomba atakama sio kazi ambayo nimesomea naomba kazi yoyote halali ambayo itanitoa kwenye mapito haya wakati nasubir mungu afanye wepesi na mungu atakubariki ....(nipo kwenye kipindi kigumu)..

Note....ukikosa kazi(pesa) marafiki wanakukimbia ila ninaimani humu jf kuna marafiki Bora sana ambao watanishika mkono
Usichague kazi, fanya kazi yoyote utakayokutana mbele yako hiyo degree haina soko. Ukiweza soma Masters Mzumbe ongezea na C.P.A angalau unaweza kuajiriwa. Kama bado mdogo na una nguvu komaa na mji usichague kazi. Seriously pambana kama hauna degree.
 
Kaka imenikuta sana hii, pole mno..

Ila kama mwanaume unaweza jichanganya hta kazi za kibarua ya saidia fundi.

Anza na pale Chuo kikuu, kuna ujenzi unaendelea(wa NHC jengo la uchumi, pale maji na pale COET, na hata MAGUFULI HOSTEL) nenda kaombe kibarua kama saidia fundi.

Unaweza liowa kati ya 10-20k, ila halali ni 15k,

Kama, ukipata 10k, ukala 5k kwa siku, nyumbani ukapeleka 3k, na 2k ukaweka akiba, itakusaidia sana..

Usiangalie aina ya kazi, ni ngumu mwanzoni ila ukizoea inaweza kukupatia pesa .

Na kama huna fundi au connection njoo pm, nikupe number za mafundi na watakusaidia..

Wanapenda kuwatumia wasomi, maana wanamsaada flani kwao.

Narudia , usikate tamaa
 
Mkuu umefungua I'd mpya then umekuja ku comment na old I'd yako.....

All in all MWENYEZ MUNGU akuongoze katika Kila unalo liwaza.......
 
Kaka imenikuta sana hii, pole mno..

Ila kama mwanaume unaweza jichanganya hta kazi za kibarua ya saidia fundi.

Anza na pale Chuo kikuu, kuna ujenzi unaendelea(wa NHC jengo la uchumi, pale maji na pale COET, na hata MAGUFULI HOSTEL) nenda kaombe kibarua kama saidia fundi.

Unaweza liowa kati ya 10-20k, ila halali ni 15k,

Kama, ukipata 10k, ukala 5k kwa siku, nyumbani ukapeleka 3k, na 2k ukaweka akiba, itakusaidia sana..

Usiangalie aina ya kazi, ni ngumu mwanzoni ila ukizoea inaweza kukupatia pesa .

Na kama huna fundi au connection njoo pm, nikupe number za mafundi na watakusaidia..

Wanapenda kuwatumia wasomi, maana wanamsaada flani kwao.

Narudia , usikate tamaa
Ahsante kaka nakuja pm @ au naomba tuwasiliane 0693392242
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom